Tamathali Za Semi

Tamathali za semi ni maneno, nahau au sentensi ambazo hutumiwa na wasanii ili kutia nguvu katika maana, mitindo na hata sauti katika maandishi ama kusema.

Wakati mwingine hutumiwa kama njia ya kuipamba kazi ya fasihi na kuongeza utamu wa lugha . Hii ina maana kwamba ili msomaji wa kazi yoyote ya fasihi apate ujumbe hana budi kufikiri kwa kina.

Tamathali hizo ni kama vile: balagaha, ritifaa, sitiari, tabaini, tanakalisauti, tashbiha, tashihisi, tashtiti, tasifida.

Tanbihi

Tamathali Za Semi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamathali za semi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FasihiLughaMaandishiNahauNenoSautiSentensiUjumbeWasanii

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Barua pepeUfeministiThamaniUmemeUbuddhaKukuSensaNamba tasaAfrika KusiniViwakilishi vya pekeeMbwana SamattaMkondo wa umemeBiashara ya watumwaHadithiWachaggaMaliasiliNigeriaRisalaEe Mungu Nguvu YetuFonimuHoma ya matumboNdege (mnyama)Martin LutherVivumishi vya jina kwa jinaVipera vya semiSilabiViwakilishi vya urejeshiBahashaMuundo wa inshaMaudhuiManchester CityUjerumaniLughaInjili ya MathayoPaul MakondaMamba (mnyama)UtataViwakilishi vya kuulizaVidonge vya majiraMichezo ya watotoFigoSemiUingerezaKiambishi awaliLingua frankaRejistaVita ya Maji MajiSamakiMafua ya kawaidaMaudhui katika kazi ya kifasihiKishazi huruUkanda wa GazaHistoria ya UislamuMaumivu ya kiunoAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuOrodha ya Magavana wa TanganyikaElibariki Emmanuel KinguMazingiraMgawanyo wa AfrikaWaluoKitomeoJulius NyerereShengMjusi-kafiriTungo sentensiZodiakiAngahewaMapambano kati ya Israeli na PalestinaBikiraJinaHisiaTiba asilia ya homoni🡆 More