Mkoa Wa Ruvuma

Mkoa wa Ruvuma ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania.

Mkoa wa Ruvuma
Mahali paMkoa wa Ruvuma
Mahali paMkoa wa Ruvuma
Mahali pa Mkoa wa Ruvuma katika Tanzania
Majiranukta: 11°0′S 36°0′E / 11.000°S 36.000°E / -11.000; 36.000
Nchi Tanzania
Wilaya 8
Mji mkuu Songea
Serikali
 - Mkuu wa Mkoa Christine G. Ishengoma
Eneo
 - Jumla 63,498 km²
Idadi ya wakazi (2022)
 - Wakazi kwa ujumla 1,848,794
Tovuti:  http://www.ruvuma.go.tz/

Umepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki.

Makao makuu ya mkoa yako Songea mjini.

Wilaya

Ndani ya mkoa huo kuna wilaya nane ambazo ni (katika mabano idadi ya wakazi mwaka 2022):

Wakazi

Jumla ya wakazi wote katika Mkoa wa Ruvuma ni 1,848,794 (sensa ya mwaka 2022).

Makabila makubwa katika Ruvuma ni Wangoni, Wamatengo, Wayao, Wandendeule, Wamanda, Wanyasa, Wapoto, Wabena na Wandengereko.

Karibu na Songea iko monasteri kubwa ya Peramiho ya watawa Wabenedikto na nyingine iko Hanga.

Elimu

Elimu bado inahitajika, hasa kwa maeneo ya vijijini, maana watu wengi katika mkoa huu hawajaelimika hivyo huleta changamoto katika maendeleo maana taifa huhitaji watu ambao ni wasomi.

Miundombinu

Sehemu ya mashariki ya mkoa kuna barabara ya lami kutoka Dar es Salaam kupitia Makambako na Njombe hadi Songea. Barabara kuu kwenda Lindi ni kiwango cha lami kuanzia Songea mjini kupitia Wilaya za Namtumbo, Tunduru, Nanyumbu, Masasi, Mnazimmoja-Lindi, hadi Dar es Salaam.

Majimbo ya bunge

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje


Mkoa Wa Ruvuma  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ruvuma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

Mkoa Wa Ruvuma WilayaMkoa Wa Ruvuma WakaziMkoa Wa Ruvuma ElimuMkoa Wa Ruvuma MiundombinuMkoa Wa Ruvuma Majimbo ya bungeMkoa Wa Ruvuma Tazama piaMkoa Wa Ruvuma TanbihiMkoa Wa Ruvuma Viungo vya njeMkoa Wa Ruvuma

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UpendoLenziNetiboliWazigulaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKutoka (Biblia)Orodha ya Watakatifu WakristoKipandausoMofimuMafua ya kawaidaVielezi vya namnaWawanjiMgawanyo wa AfrikaJangwaUandishi wa ripotiJumuiya ya Afrika MasharikiZiwa ViktoriaSheriaMoshi (mji)TausiMwenge wa UhuruTafsidaSanaaVivumishi vya jina kwa jinaMashariki ya KatiSkeliWamasoniMwanga wa JuaUlayaBurundiSanaa za maoneshoPesaMitume wa YesuDolar ya MarekaniUwanja wa Taifa (Tanzania)Viwakilishi vya pekeeWakingaZanzibar (Jiji)Rufiji (mto)MatiniKatibaAmfibiaSteven KanumbaUtamaduni wa KitanzaniaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliMajira ya baridiPaa (maana)Dubai (mji)Maambukizi nyemeleziAzimio la ArushaMaudhui katika kazi ya kifasihiJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaOsama bin LadenMfumo wa nevaUkabailaUzalendoTiktokVivumishi vya kuoneshaBaruaSikukuuNembo ya TanzaniaOrodha ya Marais wa TanzaniaFamiliaSteve MweusiUtawala wa Kijiji - TanzaniaShinaBiasharaMvuaWapareMange KimambiNyegeChristina ShushoTanganyika🡆 More