Nomino za kawaida ni maneno yanayotaja majina ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya kawaida tu.
Mifano |
---|
|
Watu na vitu hivyo huenda vinafanana kwa kuwa umbo sawa, sifa sawa, na matumizi sawa yanayofanana. Majina haya yanapoandikwa huanza kwa herufi ndogo - ila tu pale yatakapoanza mwanzoni mwa sentensi ndipo yataanzwa kwa herufi kubwa.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nomino za kawaida kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Nomino za kawaida, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.