Vivumishi

Kivumishi ni neno/maneno yanayotoa taarifa ya ziada katika nomino.

Mifano
  • 'Kuku yule 'mweusi ametaga mayai kumi
  • Askari magereza amepigwa na mfungwa
  • 'Kaka unanipa hadithi ya kuvutia
  • Raia mwema amehama mtaa

Kivumishi hufanya kazi ya kufafanua/kuelezea zaidi kuhusu nomino ili kupambanua/kuitofautisha nomino husika miongoni mwa nomino nyingine.

Kiwakilishi ni aina ya maneno ambayo husimama kuwakilisha nomino. Kivumishi hutoa taarifa ya ziada kuhusu nomino, kiwakilishi (endapo nomino haipo) au kivumishi chenzake (endapo kuna vivumishi zaidi ya kimoja katika tungo husika).

    Mifano
  • Kijana yule ana tabia nzuri
  • Majumba kumi yamevunjika
  • Mawingu meusi yametanda angani
  • Yule mpole amesafiri
  • Bata mweupe ni wa jirani

Aina za vivumishi

  1. Vivumishi vya sifa
  2. Vivumishi vya idadi pia vya kiasi
  3. Vivumishi ya kuuliza
  4. Vivumishi vya kuonesha/Vivumishi vionyeshi/viashiria
  5. Vivumishi vya kumiliki
  6. Vivumishi vya -a unganifu
  7. Vivumishi vya urejeshi
  8. Vivumishi vya pekee
  9. Vivumishi vya jina kwa jina/nomino
  10. Vivumishi visisitizi

Inafanana kabisa na orodha ya viwakilishi, tofauti yake ni hali ya nafsi tu. Yaani, hakuna kivumishi cha nafsi.

Tazama pia

Vivumishi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

NenoNomino

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mahakama ya TanzaniaUtafitiKipepeoMwanzo (Biblia)Historia ya Kanisa KatolikiUainishaji wa kisayansiKupatwa kwa MweziWasukumaKiambishiMtotoMfumo wa mzunguko wa damuViwakilishi vya pekeeTendo la ndoaKongoshoHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMziziNgano (hadithi)MaigizoKishazi huruCristiano RonaldoSimba S.C.PanziKitenzi kishirikishiFilomena wa RomaMwanaumeAbakuriaLatitudoNahauWamasaiKorea KusiniUNICEFUandishiKidoleMshororoMaghaniMamba (mnyama)Maji kujaa na kupwaMbossoUtamaduni wa KitanzaniaHadithiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaRamaniKiongoziSimu za mikononiSumakuNomino za jumlaNyumba ya MunguMkoa wa RukwaKombe la Dunia la FIFAHistoria ya AfrikaOrodha ya Marais wa ZanzibarJiografia ya TanzaniaJokofuMawasilianoMaambukizi nyemeleziCleopa David MsuyaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaBarua rasmiMauaji ya kimbari ya RwandaKisononoMaumivu ya kiunoArusha (mji)MofolojiaWapareJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUzazi wa mpango kwa njia asiliaMuzikiBungeShangaziMatendo ya MitumeMivighaUtamaduniViwakilishi vya sifaMjusi-kafiriTabainiBiashara ya watumwa🡆 More