Rushwa

Rushwa (pia: chai, chauchau, chichiri, chirimiri, hongo, kadhongo, kiinikizo, kilemba, mlungula, mrungura, mvungulio n.k.) ni aina ya mwenendo usio wa uaminifu au usiofaa kwa mtu aliyepewa mamlaka, kumbe anatumia nafasi hiyo ili kupata faida binafsi.

Rushwa
Mfano wa rushwa.
Rushwa
Bango dhidi ya rushwa.

Ufisadi unaweza kuhusisha shughuli nyingi ikiwa ni pamoja na rushwa na udhalimu, ingawa inaweza pia kuhusisha mazoea ambayo ni ya kisheria katika nchi nyingi.

Upande wa serikali, au kisiasa, rushwa hutokea wakati mmiliki wa ofisi au mfanyakazi mwingine wa serikali anafanya kazi rasmi kwa faida binafsi.

Tazama pia

Rushwa  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rushwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FaidaMamlakaMtuUaminifu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BungeMsamiatiWashambaaVitenzi vishiriki vipungufuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniFutiKitenzi kikuuMizimuNyotaMikoa ya TanzaniaZuchuLiverpool F.C.KihusishiOrodha ya Marais wa MarekaniOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoIsimu25 ApriliUzalendoJamhuri ya Watu wa ZanzibarKumaKiswahiliAndalio la somoUfugajiMahakama ya TanzaniaUbadilishaji msimboMauaji ya kimbari ya RwandaNgw'anamalundiMchwaSiriIsraelVivumishi vya kumilikiPombeWarakaSaratani ya mlango wa kizaziKiazi cha kizunguUsafi wa mazingiraLugha za KibantuNgeliBurundiKitenzi kikuu kisaidiziMwanamkeMuhimbiliKondomu ya kikeSodomaKomaHekalu la YerusalemuUgonjwa wa kuharaJamhuri ya Watu wa ChinaVidonda vya tumboKabilaVirusi vya UKIMWIAlomofuUsawa (hisabati)Mkoa wa MbeyaMtandao wa kompyutaUzazi wa mpangoNimoniaMwana FAWagogoOrodha ya milima mirefu dunianiFasihiMachweoNg'ombeKanisa KatolikiWhatsAppMkoa wa SimiyuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNdiziIdi AminUtumbo mpanaSikioWema SepetuFani (fasihi)🡆 More