Vivumishi Vya Kumiliki

*Maneno kama -ake, -ako, -angu, -ao na -etu huitwa pia vivumishi vimilikish.

Mifano
  • Nyumba yangu imebomoka
  • Mtoto wetu amepotea
  • Mtoto wenu amepotea
  • Mtoto wao amepotea

Vivumishi vya kumiliki ni maneno yanayotoa taarifa ya kujulisha umiliki wa nomino. Maneno hayo hujulisha kuwa nomino hiyo iliyotajwa ni mali ya nani.

Mchanganuo

Mashina ya vivumishi vya kumiliki yanajikita katika nafsi:

Nafsi Umoja Wingi
I -angu -etu
II -ako -enu
III -ake -ao
    Mifano

Nafsi ya kwanza:

  • Nyumba yangu imebomoka - umoja
  • Shamba langu limelimwa - umoja
  • Mtoto wetu amepotea - wingi wake

Nafsi ya pili:

  • Nyumba yako imebomoka - umoja
  • Shamba lako limelimwa - umoja
  • Mtoto wenu amepotea - wingi wake

Nafsi ya tatu:

  • Nyumba yake imebomoka - umoja
  • Shamba lake limelimwa - umoja
  • Mtoto wao amepotea - wingi wake

Tazama pia

Vivumishi Vya Kumiliki  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya kumiliki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UislamuMashariki ya KatiChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Wilaya ya IlalaDemokrasiaGoba (Ubungo)MhandisiViwakilishiAmfibiaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaNathariMickey MouseMabiboMikoa ya TanzaniaBaraTamthiliaPichaMshororoSayansiPunyetoKongoshoKiambishi awaliVita ya Maji MajiUfugajiAli KibaKinyereziKataMadhehebuTreniNangaEverest (mlima)LahajaWaziri Mkuu wa TanzaniaMkonoImaniWadatogaTenzi tatu za kaleMaudhui katika kazi ya kifasihiChatuIsraeli ya KaleBata MzingaMmeaUfugaji wa kukuNgano (hadithi)Orodha ya vyama vya siasa TanzaniaAmri KumiUmoja wa AfrikaManispaaViwakilishi vya idadiHisaBabeliKitenzi kishirikishiHafidh AmeirAlfabetiApril JacksonNgiriBenjamin MkapaMfupaAntibiotikiMandhariNdoaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziSarangaNuktambiliUaminifuKupatwa kwa JuaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaUbunifuMweziMaziwa ya mamaMusaMfumo wa uendeshaji🡆 More