Picha

Picha (kutoka neno la Kiingereza picture, lililotokana na Kilatini pictura) ni taswira ya kitu fulani ambacho kimechorwa au kutumia vifaa vya elektroniki kuchukua taswira ilivyo.

Picha
Kupiga picha mazingira kwa kamera
Picha
Mpiga picha na mwandaaji wa filamu nchini Tanzania

Siku hizi picha zimeenea kila mahali, na wengi wanapenda sana kuzipiga ili kutunza kumbukumbu zao.

Upigaji picha umekuwa aina mojawapo ya sanaa.

Nyakati za kupigwa picha

Kwa kawaida watu hupigwa picha wakati wa harusi, ubatizo, mazishi, mahafali au wakati mwingine wowote ambapo ungependa kuuhifadhi katika kumbukumbu kwa njia ya picha.

Viungo vya nje

Picha  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Picha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ElektronikiKiingerezaKilatiniNenoVifaa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

IyungaKamusi za KiswahiliMaishaZuhuraAbedi Amani KarumeJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWagogoSimba S.C.Orodha ya visiwa vya TanzaniaSemiMkoa wa MbeyaJamhuri ya Watu wa ChinaNg'ombeNandyNdoa katika UislamuMungu ibariki AfrikaMazungumzoUmaskiniVielezi vya idadiChamaziZama za ChumaZuchuHistoria ya UislamuHafidh AmeirInjili ya LukaMagonjwa ya machoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiDodoma MakuluInsha za hojaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaMkoa wa MorogoroTabiaNenoNyegeFasihi andishiWilaya ya KinondoniUislamuBenjamin MkapaHadithiIsimujamiiJinaWazigulaHarmonizeLenziOrodha ya nchi kufuatana na wakaziAnwaniMsamahaArusha (mji)KunguniAndalio la somoWayao (Tanzania)JipuUfahamuUchawiMkoa wa KilimanjaroAdolf HitlerWakaguruWazaramoUgaidiMadawa ya kulevyaIsraeli ya KaleDhahabuChelsea F.C.Mkoa wa NjombeElimu ya bahariMoscowMtandao wa kijamiiNusuirabuUfilipinoSteve MweusiKiraiMavaziMtemi Mirambo🡆 More