Wimbo Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

Jumuiya Yetu au Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki (kwa Kiingereza: EAC Anthem) ni wimbo wa taifa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Jina linatokana na maneno ya kwanza ya kiitikio yake.

Wimbo Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki
Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Historia

Jumuiya Yetu iliumbwa tarehe 3 Desemba 2010 katikaMkutano wa 12 wa marais ya JAM (12th Ordinary Summit of the EAC Head of State), mjini Arusha.

Maneno

Maneno ya Kiswahili Maneno ya Kiingereza
    Ee Mungu twaomba uilinde
    Jumuiya Afrika Mashariki
    Tuwezeshe kuishi kwa amani
    Tutimize na malengo yetu.
      Kiitikio:
      Jumuiya Yetu sote tuilinde
      Tuwajibike tuimarike
      Umoja wetu ni nguzo yetu
      Idumu Jumuiya yetu.
    Uzalendo pia mshikamano
    Viwe msingi wa Umoja wetu
    Na tulinde Uhuru na Amani
    Mila zetu na desturi zetu.
      Kiitikio:
      Jumuiya Yetu sote tuilinde
      Tuwajibike tuimarike
      Umoja wetu ni nguzo yetu
      Idumu Jumuiya yetu.
    Viwandani na hata mashambani
    Tufanye kazi sote kwa makini
    Tujitoe kwa hali na mali
    Tuijenge Jumuiya bora.
      Kiitikio:
      Jumuiya Yetu sote tuilinde
      Tuwajibike tuimarike
      Umoja wetu ni nguzo yetu
      Idumu Jumuiya yetu.
    Oh God we pray
    For preservation of the East African Community
    Enable us to live in peace
    May we fulfill our objectives
      Chorus:
      We should protect our community
      We should be committed and stand strong
      Our unity is our anchor
      Long live our community.
    Patriotism and togetherness
    Be the pillars of our unity
    May we guard our independence and peace
    Our culture and traditions.
      Chorus:
      We should protect our community
      We should be committed and stand strong
      Our unity is our anchor
      Long live our community.
    In industries and in farms
    We should work together
    We should work hard
    We should build a better community.
      Chorus:
      We should protect our community
      We should be committed and stand strong
      Our unity is our anchor
      Long live our community.

Marejeo

  • Video ya Jumuiya Yetu
  • MINJA, Rasul Ahmed et RAMADHANI, Lupa. Ongezeko la Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki: Manufaa na Changamoto. 2018.

Tags:

JinaJumuiya ya Afrika MasharikiKiingerezaNenoWimbo wa taifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Afrika KusiniMaishaMatiniPistiliMoses KulolaKichecheVasco da GamaHadithiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniUjerumaniKinywaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKamusi elezoMadawa ya kulevyaWimboNyokaUtohoziAntibiotikiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuAunt EzekielTetekuwangaAthari za muda mrefu za pombeHifadhi ya SerengetiUfeministiOrodha ya nchi za AfrikaKarafuuHaki za binadamuNafsiMbossoUEFANominoHoma ya mafuaUtumwaMobutu Sese SekoTabainiUandishi wa ripotiNimoniaMapambano kati ya Israeli na PalestinaMashuke (kundinyota)MaghaniOrodha ya volkeno nchini TanzaniaNyasa (ziwa)Mfumo wa nevaKukuInsha za hojaDaudi (Biblia)Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaWamasoniBorussia DortmundMvuaTenziUzalendoUtandawaziMtandao wa kompyutaUpinde wa mvuaTamthiliaTafsidaBawasiriMjusi-kafiriMalawiSemantikiMkanda wa jeshiKiswahiliHistoria ya KiswahiliNairobiUmoja wa Muungano wa AfrikaKibwagizoFani (fasihi)Mishipa ya damuMkondo wa umemeOrodha ya miji ya TanzaniaKinjikitile NgwaleUaMnyamaKupatwa kwa JuaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki🡆 More