Jina

Jina ni neno au maneno ambayo wanapewa watu, wanyama, nchi, vitu n.k.

kwa ajili ya utambulisho.

Majina ya watu

Utamaduni, kwa njia ya sheria au desturi, ndio unaoratibu namna ya kupanga na kutumia majina ya watu, kwa kawaida tangu kuzaliwa.

Mara nyingi, pamoja na jina binafsi, mtu anatumia pia majina mengine kama vile la ukoo mzima, au la baba na la babu.

Katika nchi na makabila mbalimbali jina linaweza kubadilishwa, kwa mfano wakati wa ibada ya kuingizwa katika dini fulani au katika utawa, au kuongezewa, kwa mfano kutokana na ndoa.

Wasanii kama waimbaji au waandishi mara nyingi hutumia jina la kisanii badala ya jina la kawaida.

Mara nyingine jina linafupishwa, hasa kama ni refu mno, au linapambwa kama kwa kumbembeleza mwenye nalo.

Majina ya wanyama

Kila aina ya wanyama inapewa jina maalumu la kuwatofautisha na wengine. Mfano: Tembo akitajwa jina lake humtofautisha na twiga.

Majina ya nchi

Kila nchi duniani lina jina lake maalumu ambalo huitambulisha nchi husika pamoja na raia wake.

Tags:

KituNchiNenoWanyamaWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ihefu F.C.ZabibuSodomaVitenzi vishiriki vipungufuMkongeYouTubeRohoAnwaniJinsiaDubuKipandausoTanganyika (ziwa)Wizara za Serikali ya TanzaniaOrodha ya miji ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSumakuKenyaJoseph Leonard HauleKilimanjaro (volkeno)Lugha ya isharaMaarifaTiba asilia ya homoniMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoWangoniLuka ModricMatumizi ya LughaHussein KaziKunguruMichezoCristiano RonaldoMichael JacksonVita Kuu ya Kwanza ya DuniaUfugaji wa kukuWilaya za TanzaniaInjili ya YohaneMkoa wa MbeyaUchawiKikoromeoMuungano wa Madola ya AfrikaWimboJinaMange KimambiMkoa wa LindiOrodha ya Marais wa TanzaniaBakari Nondo MwamnyetoMoses KulolaMitishambaSarufiMkoa wa PwaniManchester United F.C.WanyamweziIdi AminViwakilishi vya kuoneshaNdovuNguruweDanieli (Biblia)PentekosteKiunguliaUNICEFChelsea F.C.Paul MakondaUzazi wa mpango kwa njia asiliaVita Kuu ya Pili ya DuniaMaziwa ya mamaLucky DubeUfalme wa MunguJamhuri ya Watu wa ChinaMamba (mnyama)Israeli ya KaleAlmasiUwanja wa michezo wa Santiago BernabéuNomino za pekeeDiniUturuki🡆 More