Mtemi Mirambo

Mtemi Mirambo (1840-1884) alikuwa mtemi wa Wanyamwezi katika magharibi ya Tanzania ya leo.

Mtemi Mirambo
Mirambo katika miaka ya 1880, kabla ya kifo chake
Historia ya Tanzania
Coat of Arms of Tanzania
This article is part of a series
Uendo
Historia ya Zanzibar
Afrika Mashariki 1800-1845
Ukoloni
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Mkataba wa Zanzibar-Helgoland
Mkwawa
Vita vya Maji Maji
Vita vikuu vya kwanza Afrika Mashariki
Tanganyika
Mapambano ya uhuru Tanganyika
Uhuru
Uhuru wa Tanganyika
Mapinduzi ya Zanzibar
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Julius Nyerere
Ujamaa
Tamko la Arusha
Vita vya Kagera
Ali Hassan Mwinyi
Benjamin Mkapa
Jakaya Kikwete
John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

Tanzania Portal

Jina lake la awali lilikuwa "Mteyla Kasanda", lakini alikuwa maarufu zaidi kama Mirambo (yaani "maiti nyingi"). Alizaliwa kama mwana wa mtemi wa Uyowa, moja kati ya maeneo madogo ya Unyamwezi akarithi utemi kutoka babake mnamo mwaka 1860.

Mirambo alitajirika kama mfanyabiashara ya pembe za ndovu na watumwa kwa njia ya misafara kati ya pwani ya Bahari Hindi na Kongo.

Alitumia sehemu kubwa ya utajiri wake kujenga jeshi la binafsi. Kwa kusudi hilo alinunua bunduki aina ya gobori na kukusanya vijana wengi walioitwa "rugaruga". Rugaruga hao walihofiwa kote. Inasemekana ya kwamba kabla ya mapigano walipewa pombe na bangi kwa kusudi la kuongeza ukatili na kupunguza hofu yao ya kifo.

Kwa kawaida vijana hao walikuwa wanaume walioishi bila ukoo na bila familia kisha kutoroka kwenye hali ya utumwa au kuwa wapagazi wa misafara. Mirambo aliwapokea na kuwapa silaha na kwa njia hii alishinda maadui na aliweza kupanua eneo lake hadi kuwa mtemi mkuu wa Wanyamwezi kuanzia mwaka 1860 hadi kifo chake mnamo 1884.

Alisifiwa na Henry Morton Stanley kama "Napoleon Bonaparte Mwafrika" kutokana na ushujaa wake dhidi ya Waarabu waliomuunga mkono Stanley mwenyewe. Hata hivyo hakufaulu kuteka Tabora kutoka mikononi mwao.

Tanbihi

Viungo vya nje

Mtemi Mirambo  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtemi Mirambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

18401884MagharibiMtemiTanzaniaWanyamwezi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MwakaBaraOrodha ya maziwa ya TanzaniaRwandaSoko la watumwaMafarisayoAdolf HitlerVita ya Maji MajiTungo kishaziMtakatifu PauloHoma ya mafuaChristina ShushoUnyevuangaSaidi NtibazonkizaFonimuHuduma ya kwanzaMaudhuiKihusishiOmmy DimpozHisaKiambishi tamatiMavaziNominoWilaya ya UbungoLugha za KibantuIpagalaBahashaMvuaUongoziMkoa wa KataviFani (fasihi)Mtemi MiramboMjombaMeridianiAina za manenoDola la RomaHafidh AmeirHektariMpwaKishazi tegemeziMaarifaJKT TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaMvua ya maweLafudhiNomino za dhahaniaDhima ya fasihi katika maishaMoses KulolaWasukumaMaadiliMazingiraTendo la ndoaOrodha ya Watakatifu WakristoMafurikoKamusiWakingaShinikizo la juu la damuTashihisiUenezi wa KiswahiliMizimuBarabaraUaminifuNguzo tano za UislamuJinsiaSadaka24 ApriliMilango ya fahamuFamiliaMJWilaya ya KigamboniMfumo wa upumuajiUfugajiHisia🡆 More