Fonimu ni jina linalotumiwa katika elimu ya fonolojia kwa kutaja sauti bainifu za lugha fulani zilizo sehemu ndogo kabisa za maneno na kuunda tofauti za maana kati ya neno moja na jingine.
Katika lugha ya Kiswahili tunaweza kutofautisha fonimu za aina tatu:
Wataalamu wanatofautiana juu ya idadi ya fonimu za Kiswahili kama ni kwa jumla 33 au 37. .
Fonimu huweza kubadili maana ya neno katika lugha husika.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fonimu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Fonimu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.