Jakaya Kikwete: Mwanasiasa wa Tanzania na raisi mstaafu

Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa rais wa nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu tarehe 21 Desemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.

Jakaya Mrisho Kikwete
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa

Muda wa Utawala
21 Disemba 2005 – 5 Novemba 2015
Makamu wa Rais Ali M. Shein (2005–2010)
Mohamed Bilal (2010–2015)
Waziri Mkuu Edward Lowassa (2005–08)
Mizengo Pinda (2008–2015)
mtangulizi Benjamin Mkapa
aliyemfuata John Magufuli

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika
Muda wa Utawala
31 Januari 2008 – 2 Februari 2009
mtangulizi John Kufuor
aliyemfuata Muammar al-Gaddafi

Muda wa Utawala
Novemba 1995 – 21 Disemba 2005
Rais Benjamin Mkapa
aliyemfuata Asha-Rose Migiro

Muda wa Utawala
1994 – 1995
mtangulizi Steven Kibona
aliyemfuata Simon Mbilinyi

Mbunge wa Tanzania
wa jimbo la Chalinze
Muda wa Utawala
Novemba 1995 – 2005
aliyemfuata Ramadhani Maneno

tarehe ya kuzaliwa 7 Oktoba 1950 (1950-10-07) (umri 73)
Msoga, Tanganyika
utaifa Mtanzania
chama CCM
chamakingine TANU
ndoa Salma Kikwete
watoto 8
makazi Ikulu, Dar es Salaam
mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Fani yake Mchumi
dini Uislamu
Military service
Allegiance Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Service/branch Jeshi la Tanzania
Rank Major
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa
Rais Kikwete pamoja na marais wastaafu Mwinyi na Mkapa
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa
Kikwete alikuwa rais wa kwanza kutoka barani Afrika kukutana na Rais Barack Obama mwaka 2009.
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa
Rais Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakifurahia jambo
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa
KATIKA picha:
1. Mlangoni: Jakaya Kikwete
2. Mama mtumzima: Mamake Kikwete
3. Aliyekumbatiwa na mama mtumzima: Ridhiwani Kikwete
4. Anayefuatia: Salama Kikwete
5. Babu: Baba mzazi wa rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Historia ya Tanzania
Coat of Arms of Tanzania
This article is part of a series
Uendo
Historia ya Zanzibar
Afrika Mashariki 1800-1845
Ukoloni
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Mkataba wa Zanzibar-Helgoland
Mkwawa
Vita vya Maji Maji
Vita vikuu vya kwanza Afrika Mashariki
Tanganyika
Mapambano ya uhuru Tanganyika
Uhuru
Uhuru wa Tanganyika
Mapinduzi ya Zanzibar
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Julius Nyerere
Ujamaa
Tamko la Arusha
Vita vya Kagera
Ali Hassan Mwinyi
Benjamin Mkapa
Jakaya Kikwete
John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

Tanzania Portal

Asili

Amezaliwa 7 Oktoba 1950 katika kijiji cha Msoga, kata ya Lugoba, tarafa ya Msoga, jimbo la uchaguzi la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani.

Lugha ya mama ilikuwa Kikwere.

Alizaliwa katika familia ya wanasiasa. Babu yake Mzee Mrisho Kikwete alikuwa chifu wa Wakwere. Baba yake alikuwa Mkuu wa Wilaya Pangani, Same na Tanga.

Jakaya Kikwete amesimulia hadithi ya kifamilia ya kuwa wakati mama yake alipokuwa mja mzito naye, babu alitamka kuwa ikiwa mtoto atakuwa wa kiume atampatia urithi wa cheo chake.

Masomo

Miaka 19581961 akasoma Shule ya Msingi Msoga, halafu 19621965 Shule ya Kati (Middle School) Lusonga, halafu Shule ya Sekondari Kibaha akiongeza A-level huko Shule ya Sekondari Tanga.

Kuanzia mwaka 1972 alisoma uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimaliza kwa kupata digrii yake mwaka 1978.

Akajiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Jakaya aliposoma Shule ya Sekondari ya Kibaha alikuwa mwenyekiti wa wanafunzi na pia wa Vijana wa TANU. Katika Shule ya Sekondari Tanga alikuwa Kiranja Mkuu na pia kiongozi wa timu ya mpira. Katika UDS alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wanafunzi.

Kupanda ngazi katika siasa

1mwaka huu alikuwa mkulima wa Msoga. Mwaka 1988 akateuliwa kuwa mbunge na waziri msaidizi. Mwaka 1990 alichaguliwa kuwa mbunge wa Bagamoyo/Chalinze akirudishwa kila uchaguzi hadi mwaka 2000. Akawa waziri akipita katika wizara za maji na fedha.

Mwaka 1995 alijaribu kuchaguliwa kuwa mgombea wa urais upande wa CCM. Inasemekana ya kwamba Mwalimu Julius Nyerere alimwomba wakati ule kumwachia nafasi Benjamin Mkapa aliyeteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM. Kikwete akawa Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali zote mbili za Mkapa.

Mwaka 2005 alifaulu kuteuliwa mgombea wa CCM kwa nafasi ya rais akashinda uchaguzi wa Desemba 2005 akizoa 80% za kura zote.

Miaka kumi ya urais

Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alitangazwa tena mshindi ingawa kwa asilimia ndogo zaidi na kwa wasiwasi kuhusu uwezekano wa matokeo kuchakachuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi aliyoiteua mwenyewe. Katiba ya nchi hairuhusu kukata rufaa dhidi ya tangazo la tume hiyo.

Kuapishwa kwa mara ya kwanza kwa Jakaya Kikwete kama Rais wa 4 wa Tanzania kulifanyika Jumatano, tarehe 21 Desemba 2005. Ilikuwa ni mwanzo wa muhula wa kwanza wa miaka mitano wa Jakaya Kikwete kama Rais na Ali Mohamed Shein kama Makamu wa Rais.

Katika miaka mitano iliyofuata, rais aliendelea kusafiri sana nje ya nchi, kiasi kwamba alikaa ughaibuni siku nyingi kuliko zile alizokaa nchini Tanzania.

Hali ya mwisho ya nchi ilifananishwa na mwandamizi wake John Magufuli kuwa kama "shamba la bibi", ambamo kila mtu anaweza kuchuma anavyotaka. Pia rais mpya alilalamika kwa kukuta hazina haina fedha, mbali na madeni ya kimataifa kufikia kiasi cha karibu Shilingi za Tanzania milioni 1 kwa kila mwananchi.

Heshima na Tuzo

Nishani

Nishani Nchi Tarehe Ref
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Nishani Ubora wa Lulu ya Afrika (Bwana tukufu) Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Uganda Julai 2007
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Nishani ya Hilali Kijani ya Komori Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Komori Machi 2009
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Nishani ya Abdulaziz Al Saud Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Saudi Arabia Aprili 2009
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Nishani ya Ubora Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Jamaika Novemba 2009
Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Nishani ya Oman (Daraja la Kwanza) Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Omani Oktoba 2012

Shahada za Heshima

Chuo Kikuu Nchi Shahada ya Uzamivu Tarehe Ref
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Thomas (Minnesota) Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Marekani Daktari wa Sheria 28 Septemba 2006
Chuo Kikuu cha Kenyatta Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Kenya Shahada ya Heshima 19 Disemba 2008
Chuo Kikuu cha Fatih Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Uturuki Shahada ya Heshima katika Mahusiano wa Kimataifa Februari 2010
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Muhimbili Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Tanzania Daktari wa Afya ya Umma Disemba 2010
Chuo Kikuu cha Dodoma Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Tanzania Shahada ya Heshima 26 Novemba 2010
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Tanzania Daktari wa Sheria Oktoba 2011
Chuo Kikuu cha Guelph Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Kanada Daktari wa Sheria 20 Septemba 2013
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa  Tanzania Shahada ya Heshima 21 Januari 2016

Marejeo

  • Nyang'oro, Julius E. (2011). JK: A Political Biography of Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania. Trenton, NJ: Africa World Press, Inc. ISBN 1592217753. 

Tanbihi

Viungo vya nje

Jakaya Kikwete: Asili, Masomo, Kupanda ngazi katika siasa 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Alitanguliwa na
Benjamin William Mkapa
Rais wa Tanzania
2005-2015
Akafuatiwa na
John Magufuli

Tags:

Jakaya Kikwete AsiliJakaya Kikwete MasomoJakaya Kikwete Kupanda ngazi katika siasaJakaya Kikwete Miaka kumi ya uraisJakaya Kikwete Heshima na TuzoJakaya Kikwete MarejeoJakaya Kikwete TanbihiJakaya Kikwete Viungo vya njeJakaya Kikwete2005201521 Desemba5 NovembaJamhuriRaisTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HurafaUtohoziKishazi tegemeziZuhuraInsha za hojaMuundo wa inshaMashariki ya KatiMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaTawahudiUislamuRamaniZama za ChumaMaadiliInjili ya LukaMkoa wa LindiLugha za KibantuBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiNeemaKisaweOrodha ya viongoziMofimuMabiboMtakatifu MarkoVitenzi vishirikishi vikamilifuSomo la UchumiStephane Aziz KiBagamoyo (mji)Mungu ibariki AfrikaOrodha ya visiwa vya TanzaniaVivumishi vya kumilikiUchawiKhadija KopaMarie AntoinetteViwakilishi vya pekeeMkutano wa Berlin wa 1885Lahaja za KiswahiliUfahamu wa uwezo wa kushika mimba24 ApriliMmeng'enyoHistoria ya TanzaniaKiambishi tamatiUfahamuUshairiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMisriWaziri Mkuu wa TanzaniaKiambishi awaliKiraiUwanja wa Taifa (Tanzania)ManispaaMartin LutherBendera ya TanzaniaMaana ya maishaNyangumiOrodha ya vitabu vya BibliaKukuAnwaniMapenzi ya jinsia mojaMunguMkopo (fedha)Mishipa ya damuMsamahaHistoria ya WapareUlumbiSikioSalim Ahmed SalimMjombaViungo vinavyosafisha mwiliMburahatiMsituTendo la ndoaHarmonizeKibu DenisBiblia ya KikristoMapinduzi ya Zanzibar🡆 More