Bendera Ya Tanzania

Bendera ya Tanzania ni ya mstatili unaokatwa pembe kwa pembe na kanda nyeusi yenye milia za njano kandokando.

Bendera Ya Tanzania
Bendera ya Tanzania.
Bendera Ya Tanzania
Bendera ya Zanzibar baada ya mapinduzi mwaka 1964
iliyotangulia kuundwa kwa bendera ya Tanzania.
Bendera Ya Tanzania
Bendera ya Jamhuri ya Tanganyika tangu mwaka 1961 hadi 1964 iliyotangulia kuundwa kwa bendera ya Tanzania.

Pembetatu ya juu ina rangi ya majani, pembetatu ya chini ni ya buluu.

Matumizi ya bendera inahifadhiwa chini ya sheria ya "The National Flag and Coat of Arms Act, 15-1971".

Historia ya bendera

Bendera hii imepatikana tangu 30 Juni 1964 kutokana na muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Bendera ya Tanganyika ilikuwa na rangi ya kijani ikiwa na kanda nyeusi katikati yenye milia za njano kando. Buluu imepatikana kutokana na bendera ya Zanzibar ya mwaka 1964 ikimaanisha bahari. Hata hivyo toka mwaka 2005, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ilianza kutumia rasmi bendera ya Zanzibar. Hii ni mara ya kwanza toka kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar kwa funguvisiwa la Zanzibar kuwa na bendera yake lenyewe.

Maana ya rangi

Rangi zinasemekana kuwa na maana zifuatazo:

Bendera za kihistoria tangu zamani za ukoloni

Flag Duration Use Description
Bendera Ya Tanzania  1856–1963 Bendera ya Usultani wa Zanzibar Kitambaa chekundu
Bendera Ya Tanzania  1888–1890 Bendera ya Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki Nyeupe, msalaba mweusi, nyota za Salibu
Bendera Ya Tanzania  1893-1919 Bendera ya Mamlaka ya Koloni za Ujerumani Nyeusi-nyeupe – nyekundu kama Dola la Ujerumani, pamoja na ishara ya tai, ilitumiwa katika koloni zote za Ujerumani
Bendera Ya Tanzania  1919–1961 Ramani ya eneo la kudhaminiwa Tanganyika Bendera nyekundu yenye rangi za Uingereza kwenye kona na ishara ya twiga
Bendera Ya Tanzania  1961–1964 Bendera ya Tanganyika Kijani yenye kanda nyeusi katikati linaloshikwa na milia ya njano-dhahabu
Bendera Ya Tanzania  1963–1964 Bendera ya Usultani wa Zanzibar baada ya uhuru Nyekundu, yenye duara ya kibichi inayoonyesha karafuu mbili za rangi ya njano
Bendera Ya Tanzania  Januari–Aprili 1964 Bendera ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hadi maungano Kanda za buluu, nyeusi na kijani.

Marejeo

Tags:

Bendera Ya Tanzania Historia ya benderaBendera Ya Tanzania Maana ya rangiBendera Ya Tanzania Bendera za kihistoria tangu zamani za ukoloniBendera Ya Tanzania MarejeoBendera Ya TanzaniaMstatiliNjanoNyeusiTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

VisakaleTungo kishaziLugha rasmiWilaya ya KinondoniNdege (mnyama)UnyevuangaAsili ya KiswahiliMgawanyo wa AfrikaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMadhara ya kuvuta sigaraWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMkoa wa KageraNembo ya TanzaniaIlluminatiBenjamin MkapaDubaiMagonjwa ya machoKonsonantiUfahamuUsafi wa mazingira24 ApriliMisimu (lugha)SakramentiWamasaiUfugaji wa kukuHoma ya mafuaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaAfande SeleAgano la KaleUtawala wa Kijiji - TanzaniaHeshimaUislamuUwanja wa Taifa (Tanzania)ZuhuraMikoa ya TanzaniaPamboKumaMlo kamiliMasadukayoKitenzi kikuu kisaidiziPhilip Isdor MpangoSomo la UchumiKamusi za KiswahiliKiunzi cha mifupaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Mohamed HusseinMaambukizi nyemeleziMburahatiUkristo barani AfrikaPaul MakondaUmaskiniTwigaAfrika KusiniTarakilishiAlfabetiMkoa wa KataviViwakilishi vya idadiJumuiya ya Afrika MasharikiLugha za KibantuMbeziMaajabu ya duniaTarbiaLigi Kuu Uingereza (EPL)Orodha ya majimbo ya MarekaniFasihiMrijaMunguWilaya ya IlalaMaktabaMofimuVirusi vya UKIMWIMjasiriamaliIdi Amin🡆 More