Tai

Jenasi 20 za tai:

Tai
Tai ngwilizi
Tai ngwilizi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga)
Vieillot, 1816
Ngazi za chini

  • Aquila Brisson, 1760
  • Circaetus Vieillot, 1816
  • Clanga Adamowicz, 1858
  • Eutriorchis Sharpe, 1875
  • Haliaeetus Savigny, 1809
  • Harpia Vieillot, 1816
  • Harpyopsis Salvadori, 1875
  • Hieraaetus Kaup, 1844
  • Ictinaetus Blyth, 1843
  • Lophaetus Kaup, 1847
  • Lophotriorchis Sharpe, 1874
  • Morphnus Dumont, 1816
  • Nisaetus Blyth, 1845
  • Pithecophaga Ogilvie-Grant, 1896
  • Polemaetus Heine, 1890
  • Spilornis G.R. Gray, 1840
  • Spizaetus Vieillot, 1816
  • Spizastur G.R. Gray, 1841
  • Stephanoaetus W.L. Sclater, 1922
  • Terathopius Lesson, 1830

Tai ni ndege mbua wakubwa wa familia Accipitridae. Wana makucha marefu ili kukamata uwimbo na domo kubwa lenye ncha kwa kulabu ili kupapura nyama. Uwezo wao wa kuona kwa macho ni mzuri kabisa na hutambua windo kwa mbali sana. Tai hujenga tago lao juu ya miti mirefu au magenge marefu. Pengine hutumika kwa uwindaji wa vipanga.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maudhui katika kazi ya kifasihiNishatiUainishaji wa kisayansiMpango wa BiasharaWakingaElimuKadi za mialikoKisimaHifadhi ya mazingiraMkutano wa Berlin wa 1885Jamhuri ya Watu wa ZanzibarHistoria ya WapareSerikaliTAZARAJoyce Lazaro NdalichakoRufiji (mto)Pijini na krioliUislamuNamba za simu TanzaniaUbuntuWangoniJulius NyerereEmmanuel John NchimbiWamasaiKamusiKiunguliaOsama bin LadenWanyamboMbwaVivumishi ya kuulizaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMajira ya baridiOrodha ya Watakatifu WakristoKanga (ndege)SamakiRitifaaMichoro ya KondoaBaraza la mawaziri Tanganyika 1961Filomena wa RomaKiambishi awaliMmeaDhima ya fasihi katika maishaRose MhandoWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)PesaMfumo wa JuaKiraiKipepeoMgawanyo wa AfrikaInsha ya wasifuArusha (mji)Tabianchi ya TanzaniaDawatiMwakaWanyamweziKhadija KopaDiniWawanjiFonimuMisemoFonolojiaVivumishi vya urejeshiAina za manenoKata17 ApriliUturukiSalaKata (maana)MaghaniNathariEverest (mlima)UlayaOrodha ya Magavana wa TanganyikaBurundiJiografia ya TanzaniaUgonjwa wa uti wa mgongo🡆 More