Mnyama Ndege

Nusungeli na oda za juu:

Ndege (Aves)
Ndege (Buabua-kishungi mkubwa)
Ndege (Buabua-kishungi mkubwa)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli ya juu: Tetrapoda
(bila tabaka): Dinosauria
(bila tabaka): Theropoda
Ngeli: Aves (Ndege)
Linnaeus, 1758
Ngazi za chini

  • †Archaeornithes *
  • †Enantiornithes
  • †Hesperornithes
  • †Ichthyornithes
  • Neornithes
    • Palaeognathae
    • Neognathae

Ndege ni wanyama wenye uti wa mgongo (chordata) na miguu miwili wanaozaliana kwa kutaga mayai.

Mnyama Ndege
Miguu, midomo na utumbo wa ndege

Biolojia inawapanga katika ngeli ya Aves.

Ndege wameenea kote duniani kuanzia Aktiki hadi Antaktiki.

Ndege mdogo huwa na sentimita 5 tu na ndege mkubwa ana urefu wa mita mbili na nusu.

Ndege huwa na manyoya, mdomo bila meno, mayai yenye ganda gumu, moyo wenye vyumba vinne na mifupa myepesi ambayo ni imara.

Ndege walio wengi wana uwezo wa kuruka hewani na maumbile yao yanalingana na kusafiri hewani. Ila tu aina chache zimepoteza uwezo wa kuruka kwa mfano mbuni, ngwini na ndege kadhaa wa visiwani.

Aina nyingi za ndege huwa na misafara ya kila mwaka, kwa mfano korongo mweupe husafiri kila mwaka kati ya Afrika na Ulaya.

Uainishaji

Picha

Mnyama Ndege  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndege (mnyama) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ShetaniDar es SalaamMichezo ya OlimpikiInjili ya MathayoMariooHistoria ya KanisaNgeliTabiaMazishiYerusalemuMwanza (mji)Miikka MwambaKichochoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKatekisimu ya Kanisa KatolikiMbwana SamattaFasihi andishiKipindupinduArusha (mji)AlasiriKiongoziRiwayaWikipediaKiburiDagaaKupatwa kwa JuaCleopa David MsuyaReal MadridWamasaiBibi Titi MohammedSeli nyeupe za damuUzazi wa mpangoTafsiriSakramentiKarafuuNyati wa AfrikaWizara za Serikali ya TanzaniaLugha za KibantuMaumivu ya kiunoUkimwiUyahudiBob MarleyOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUongoziFamiliaIsraeli ya KaleSodomaKidole gumbaNgonjeraMsukuleP. FunkMazungumzoBahariJakaya KikweteNgw'anamalundiVihisishiVielezi vya mahaliVidonda vya tumboUchawiKiwakilishi nafsiBikiraItifakiAfrika Mashariki 1800-1845Mchungaji mwemaBurundiSaidi Salim BakhresaVipera vya semiPesaKitenzi kikuuMsitu wa AmazonHali ya hewaMuundo wa inshaMkoa wa KilimanjaroKiraiAfya na mwonekano wa Michael Jackson🡆 More