Tarbia

Tarbia ndiyo aina ya shairi rahisi sana kuandika na waandishi wengi hutumia aina hiyo ya shairi.

Ni shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti na vipande viwili katika kila mshororo.

Vipande hivyo hujulikana kama Ukwapi na utao.

Mfano wa mashairi ya tarbia:

Kalamu yangu kichwani, ninacho cha kuandika

Kilichopo akilini, kwa wengi kitasikika

Kwa mtu nilo makini, kwake haya yatafika

Tungeheshimu kalamu, ingelindika sheria.

Tarbia Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarbia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ShairiWaandishi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya makabila ya TanzaniaHedhiAdhuhuriPijiniAmfibiaMnara wa BabeliMfumo katika sokaMwanzoSensaMkoa wa ArushaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaJinsiaMuundo wa inshaNandyPalestinaVivumishi ya kuulizaShuleUkristo nchini TanzaniaMkoa wa MwanzaMawasilianoDawatiLilithMachweoWahayaAlfabetiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaVipera vya semiMkanda wa jeshiClatous ChamaNyimbo za jadiHistoria ya UislamuMkoa wa LindiOrodha ya Magavana wa TanganyikaNadhariaUpendoHistoria ya ZanzibarHuduma ya kwanzaShahawaBurundiBayer 04 LeverkusenGlobal Positioning SystemKanda Bongo ManNembo ya TanzaniaBinadamuUtamaduni wa KitanzaniaNomino za pekeeKupatwa kwa JuaUkristo barani AfrikaMbeyaMaambukizi nyemeleziMajigamboOlduvai GorgeFani (fasihi)KipindupinduMfumo wa hali ya hewaMkataba wa Helgoland-ZanzibarTovutiZeruzeruAfrikaKilimanjaro (volkeno)KitaluAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaRufiji (mto)TabiaVasco da GamaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaJinaiTanganyika African National UnionCAFFonimuOrodha ya Watakatifu WakristoHassan MwakinyoMwanzo (Biblia)🡆 More