Wilaya Ya Ilala

6°49′26″S 39°14′56″E / 6.824°S 39.249°E / -6.824; 39.249

Wilaya Ya Ilala
Mandhari ya sehemu ya Ilala.
Wilaya Ya Ilala
Mtaa wa Samora ni kati ya barabara kuu za kitovu cha jiji.

Wilaya ya Ilala (Dar es Salaam City) ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikadi namba 12000.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 634,924. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 1,649,912 .

Eneo lake ni km² 273, likijumlisha kitovu cha kihistoria cha jiji la Dar es Salaam ambako kuna ofisi nyingi za serikali pamoja na kampuni kubwa na maduka. Nafasi ya kitovu chenyewe ni Sanamu ya Askari; mitaa mingine maarufu ni Kariakoo, Buguruni, Kivukoni na kando yake iko Pugu.

Marejeo

Wilaya Ya Ilala  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Wilaya Ya Ilala 

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa


Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Afrika ya MasharikiDodoma (mji)Mr. BlueMkoa wa DodomaUtataUgonjwaMillard AyoMbooVielezi vya wakatiUtamaduniUtamaduni wa KitanzaniaJohn MagufuliMbuga za Taifa la TanzaniaKadi za mialikoMange KimambiChuo Kikuu cha MuhimbiliMvuaAndalio la somoNenoMashuke (kundinyota)MbonoMaliasiliMkoa wa ManyaraOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuBinadamuWilaya za TanzaniaShinikizo la juu la damuNdimuMatiniUandishi wa inshaKunguruMishipa ya damuKanisa KatolikiTanzaniaUzazi wa mpango kwa njia asiliaInsha ya wasifuNguvaMadawa ya kulevyaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaAmfibiaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUlayaMwanza (mji)KipandausoTovutiSkeliNyweleMajira ya mvuaViwakilishi vya idadiSteven KanumbaLugha ya taifaZama za ChumaWanyama wa nyumbaniMkoa wa RuvumaBara la AntaktikiKupatwa kwa MweziAgano JipyaOrodha ya Marais wa TanzaniaKichecheUlemavuJogooMkoa wa GeitaKilimoKombe la Dunia la FIFAPapa (samaki)UsanisinuruMikoa ya TanzaniaMkoa wa SongweKontuaJongooMapambano ya uhuru Tanganyika🡆 More