Urithi (kutoka neno la Kiarabu) ni vitu vyote ambavyo mtu aliyefariki dunia ameviacha na ambavyo vigawiwe kwa ndugu na wengineo kufuatana na wasia wake, sheria, desturi n.k.
Neno linatumika pia katika biolojia kumaanisha sifa na tabia za kiumbehai zinazopita kwenda kwa wazao wake kwa njia ya ADN.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Urithi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.