Raia

Raia ni mtu anayeishi katika nchi fulani na kuwa na haki zote kama mzalendo wa nchi yake.

Mzalendo ni mtu anayeishi katika nchi fulani na kufuata sheria za nchi na analinda na kuviheshimu vitu vya nchi yake. Kwa mfano, mtu anayeishi katika nchi ya Tanzania ni Mtanzania.

Raia
Raia mzee wa nchi ya Cuba

Nchini Tanzania kuna aina nne za uraia, nazo ni:

  • 1) Uraia wa kuzaliwa
  • 2) Uraia wa kurithi
  • 3) Uraia wa kuoa au kuolewa
  • 4) Uraia wa kujiandikisha

Hizo ni aina kuu nne za uraia nchini Tanzania ambazo hapa chini zitaelezwa moja badala ya nyingine.

Uraia wa kuzaliwa

Uraia huu hutokana na wazazi wa nchi moja ambao wameoana na kupata watoto katika nchi hiyo, kwa hiyo basi mtoto atakayezaliwa atakuwa wa nchi ya wazazi wake. Mfano, kama wazazi ni Watanzania mtoto atakayezaliwa atakuwa Mtanzania.

Uraia wa kurithi

Uraia huu unatokana na mtoto kurithi uraia wa mmojawapo wa babu au bibi yake katika nchi ambayo mtoto huyo anapenda.

Uraia wa kuoa/kuolewa

Hii inatokana na, baada ya watu kuoana, mmojawapo kati ya hao wawili anataka uraia wa mwenzake, anaweza akawa kwa sababu walioana wakiwa ni mataifa mawili tofauti.

Uraia wa kujiandikisha

Huu uraia ni wa mtu kutoka taifa fulani anataka kuwa raia wa nchi ambayo yeye anaipenda; hivyo yeye atatakiwa kwenda katika mamlaka ya uhamiaji ili aweze kuishi moja kwa moja katika nchi atakayo kwa amani.

Zifuatazo ni sifa ambazo kama mtu anayetaka kuishi Tanzania azifuate:

  • 1) Anatakiwa awe mtu anayejielewa, yaani awe na tabia nzuri
  • 2) Anatakiwa awe ameishi nchini kwa miaka mitano
  • 3) Anatakiwa awe na miaka kuanzia kumi na nane (18) na kuendelea
  • 4) Anatakiwa aukane uraia wa nchi yake na kuukubali uraia anaotaka na kufuata sheria za nchi bila shuruti.
Raia  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Raia Uraia wa kuzaliwaRaia Uraia wa kurithiRaia Uraia wa kuoakuolewaRaia Uraia wa kujiandikishaRaiaHakiMtuSheriaTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mtandao wa kijamiiNgeliNembo ya TanzaniaAbrahamuChama cha MapinduziUpinde wa mvuaTafakuriMaumivu ya kiunoUtumwaUwanja wa Taifa (Tanzania)VokaliKilimanjaro (volkeno)NdovuWapareOrodha ya majimbo ya MarekaniSwalaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiChumba cha Mtoano (2010)Mwenge wa UhuruBloguMzeituniKiazi cha kizunguFamiliaMzabibuMvua ya maweMnara wa BabeliMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiNgamiaMahakamaUislamuWanyaturuAgano JipyaUgonjwa wa kuharaMachweoMartin LutherHistoria ya ZanzibarMashuke (kundinyota)EthiopiaVielezi vya mahaliLugha ya taifaNgw'anamalundiSanaaVivumishi vya sifaMsokoto wa watoto wachangaMunguNominoPesaUtoaji mimbaBendera ya KenyaShetaniMkunduHisiaBunge la TanzaniaKabilaBiashara ya watumwaBiasharaPasifikiMivighaAunt EzekielKataMkoa wa DodomaMawasilianoKisimaDaktariOrodha ya mito nchini TanzaniaMkoa wa MbeyaIfakaraMikoa ya TanzaniaBinadamuBidii🡆 More