Wanamgambo (pia: mgambo tu) ni askari wa akiba wasioajiriwa na jeshi rasmi la nchi, ila walipitia mafunzo ya awali ya kijeshi ili wasaidie kulinda usalama wa raia na mali yao.
Mara nyingine, wanamgambo wanatumia uzoefu na silaha zao kuunda kikosi cha kupigania sera fulani na hata kuwa kundi la wahalifu katika mazingira ya vita, hasa vya wenyewe kwa wenyewe.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wanamgambo, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.