Tafakuri (kutoka neno la Kiarabu linalokazia kufikiri) ni zoezi la binadamu katika kutumia vema akili yake.
Lengo linaweza kuwa utulivu wa nafsi, ambao unasaidia pia afya ya mwili, au uchimbaji wa jambo fulani, au utafutaji wa jibu la swali lililojitokeza, au uamuzi kuhusu maisha au mengineyo ya namna hiyo.
Tafakuri za makusudi lilitumika toka zamani katika dini mbalimbali hata kwa kufumba macho, kukariri maneno fulani, kutumia tasbihi za aina mbalimbali, n.k.
Kwa namna ya pekee, tafakuri inazingatiwa katika monasteri.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Tafakuri, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses. ®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.