Namba Sanifu Ya Kimataifa Ya Vitabu

Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu (en:International Standard Book Number) inayojulikana kwa kifupi chake cha ISBN ni namba ya kipekee ya utambulisho wa vitabu viuzwavyo kibiashara.

Inasaidia kujua kwa uhakika ni kitabu kipi kinachoagizwa na mteja na kutumwa kutoka wachapishaji kwenda dukani.

Namba Sanifu Ya Kimataifa Ya Vitabu
Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu (ISBN) kwa mwandiko wa tarakimu na msimbo pau

ISBN inapangwa kwa kila toleo na tofautisho (isipokuwa marekebisho) la kitabu. Kwa mfano, Kitabu cha kielektroniki, paperback na toleo gumu (hardcover) la kitabu kilekile kila moja itakuwa na ISBN tofauti. ISBN ina urefu wa tarakimu 13 kama iliwekwa kuanzia tarehe 1 Januari 2007, na urefu wa tarakimu 10 kama iliwekwa kabla ya mwaka 2007.

Namna ya kuweka ya ISBN inategemea taifa lenyewe na hutofautiana kutoka nchi hadi nchi, mara nyingi inategemea na ukubwa wa sekta ya uchapishaji ndani ya nchi. Kila namba inaweza kuonyeshwa kwa tarakimu au msimbo pau.

Tags:

Vitabuen:International Standard Book Number

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Millard AyoBabeliChumba cha Mtoano (2010)TabianchiStephane Aziz KiKata za Mkoa wa Dar es SalaamMpira wa miguuSadakaBarua pepeMange KimambiSamia Suluhu HassanSexOrodha ya Marais wa KenyaKhadija KopaBahari ya HindiSimu za mikononiDar es SalaamMbagalaC++Kiambishi tamatiSitiariMunguHistoria ya WapareJichoNevaMzeituniUtawala wa Kijiji - TanzaniaSiafuEthiopiaAfrikaVivumishi vya kumilikiKimara (Ubungo)Orodha ya milima ya TanzaniaHerufiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaKabilaMadhara ya kuvuta sigaraAsidiSanaa za maoneshoUchaguziMkoa wa RuvumaPumuHifadhi ya mazingiraOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWamasaiAlfabetiBenjamin MkapaMohamed HusseinMahakama ya TanzaniaWameru (Tanzania)Kishazi tegemeziKiambishiMavaziMwaniFonolojiaJose ChameleoneTafakuriHurafaLugha za KibantuMziziBaruaKutoa taka za mwiliMtumbwiMuda sanifu wa duniaSensaTarakilishiLakabuMafurikoUjerumaniUNICEFMkoa wa KataviMuhammadBaraza la mawaziri TanzaniaRuge MutahabaUrusi🡆 More