Sitiari

Sitiari (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: metaphor kutoka Kigiriki μεταφορά, metaforaa, yaani uhamisho) ni tamathali ya usemi inayofananisha mambo mawili bila kutumia kiunganishi katikati.

Kwa mfano: "Jihadhari, mtu yule ni sungura". Msemaji hadhani kweli kwamba mtu ni sungura, bali anataka kudokeza na kusisitiza ujanja wake.

Usemi wa namna hiyo unapamba sentensi na kuweza kuifanya iwe na hadhi ya sanaa.

Sitiari Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sitiari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiarabuKigirikiKiingerezaKiunganishiNenoTamathaliUsemi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WasabatoMji mkuuKitenzi kikuu kisaidiziEdomuHistoria ya TanzaniaHadithiMilaBunge la TanzaniaTarakilishiJumuiya ya Afrika MasharikiWakwereKumaMbuniKipindupinduDhamiraUmoja wa Muungano wa AfrikaKinjikitile NgwaleMlo kamiliTeknolojiaDubaiMwaka wa KanisaRejistaNominoMkwawaFamiliaJuaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaHistoria ya WokovuAfrika KusiniUtandawaziMadhehebuMkoa wa IringaMaktabaFacebookYoung Africans S.C.YerusalemuKundiBongo FlavaSimbaMzunguLigi ya Mabingwa UlayaOlduvai GorgeUkristo barani AfrikaBaruaRihannaMivighaMnururishoIstilahiDodoma (mji)NuktambiliLughaMuundo wa inshaMachweoUkuaji wa binadamuAndalio la somoJiniKatibaMtandao wa kompyutaJamhuri ya Watu wa ChinaUtamaduniKiboko (mnyama)KatibuTupac ShakurOrodha ya kampuni za TanzaniaKigugumiziBendera ya KenyaVivumishi vya kumilikiFani (fasihi)MafarisayoVielezi vya idadiMnyamaUbunifuManiiFiston Mayele🡆 More