Sanaa za maonesho ni kitendo chochote kinachodhihirishwa na mambo yafuatayo:
- Dhana inayotendeka (Tendo lenyewe)
- Mtendaji (Fanani)
- Uwanja wa kutendea (Mandhari)
- Watazamaji (Hadhira)
Sanaa hiyo huhusisha vipera mbalimbali vya fasihi simulizi. Kwa mfano; michezo ya kuigiza, ngonjera na kadhalika.
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sanaa za maonesho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sanaa za maonesho, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.