Vivumishi Vya Jina Kwa Jina

Vivumishi vya jina kwa jina ni aina ya vivumishi ambavyo jina moja hutoa taarifa ya ziada kuhusu jina lenzake.

Mifano
  • Nguruwe pori ameuawa
  • Pilipili kichaa ni kali sana
  • Bata maji anaogelea
  • Askari kanzu amegongwa na gari
  • Dagaa mchele ni watamu sana
  • Bwana shamba amehamia mbali
    Mfano
  • Mbwa mwitu ni wakali sana (mbwa ni jina na mwitu ni jina vilevile - yakikutana yanaleta maana ya jina jingine tofauti na la mbwa wa kawaida).

Tazama pia

Lango:Lugha

Vivumishi Vya Jina Kwa Jina  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya jina kwa jina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JinaVivumishi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Majira ya baridiKisimaNomino za pekeeHekimaMaishaVielezi vya namnaAlomofuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaKihusishiMagonjwa ya kukuKitenzi kikuuRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMilango ya fahamuUaminifuUhuru wa TanganyikaTreniWayahudiKamusi ya Kiswahili sanifuMvuaMshororoMamba (mnyama)MbeziInshaOrodha ya maziwa ya TanzaniaMivighaAfrika Mashariki 1800-1845KitomeoSoko la watumwaMtemi MiramboSaidi Salim BakhresaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMlongeChelsea F.C.Mpira wa kikapuAntibiotikiAli Hassan MwinyiYouTubeDhahabuKiburiHaki za binadamuSheriaLughaFasihiBarua rasmiNyotaUwanja wa Taifa (Tanzania)MaliasiliJamiiYesuViunganishiUyahudiVivumishi vya jina kwa jinaIntanetiKatekisimu ya Kanisa KatolikiElimu ya bahariUzazi wa mpango kwa njia asiliaMafua ya kawaidaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMohamed HusseiniBarack ObamaTabiaLigi ya Mabingwa AfrikaTasifidaMandhariWimboKatibaWamasaiMisemoNomino za kawaidaUfisadiMkanda wa jeshiUhifadhi wa fasihi simulizi🡆 More