Katiba

Katiba ni sheria au kanuni zinazoaInisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao.

Katiba
Picha inayomwonyesha rais wa kwanza wa Marekani George Washington katika baraza la katiba la mwaka 1787 lililofanyika huko Marekani kwa mara ya kwanza.

Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huainisha haki za msingi za wananchi.

Kuna aina kuu mbili za Katiba ambazo ni:

  • (a) Katiba isiyo ya maandishi (ya kimapokeo)
  • (b) Katiba ya maandishi.

Katiba ya India ndiyo katiba ndefu kuliko katiba yoyote duniani.

Tazama pia

Viungo vya nje

Katiba  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katiba kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChamaKanuniNchiSheriaShirika

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TendiHadithi za Mtume MuhammadKiwandaVielezi vya wakatiChatGPTMtandao pepe binafsiMaradhi ya zinaaMalariaMsituNahauBarack ObamaViunganishiMahakama ya TanzaniaWachaggaUyahudiAndalio la somoToharaChakulaVitenzi vishirikishi vikamilifuDuniaDodoma (mji)KibodiVidonda vya tumboPichaHistoria ya WasanguBenjamin MkapaLigi ya Mabingwa AfrikaVokaliMtemi MiramboLughaTendo la ndoaVirusi vya CoronaFamiliaMatiniJamiiPalestinaDamuYesuMilaMeta PlatformsSexHaki za watotoUfilipinoMji mkuuSaidi NtibazonkizaDiplomasiaTashihisiUngujaMr. BlueHoma ya iniRisalaKiambishiMandhariMkoa wa NjombeVidonge vya majiraAdolf HitlerUhuru wa TanganyikaNomino za wingiBikiraKisimaVielezi vya idadiUsultani wa ZanzibarBarabaraMfumo katika sokaIdi AminIniNandyOrodha ya Watakatifu WakristoWanyakyusaShinaTenziBarua rasmiViganoVitenzi vishiriki vipungufuHaki za binadamu🡆 More