Vielezi vya namna (alama yake ya kiisimu ni: E) ni maneno yanayotoa taarifa au ufafanuzi ambao unaenelezea namna au jinsi kitenzi (tendo) kinavyofanyika.
Mifano |
---|
|
Maneno haya hujulisha kuwa kitenzi hicho kinatumika namna gani au jinsi gani.
Vielezi hivi vya namna au jinsi pia vimegawanyika katika makundi madogomadogo sita
Hivi ni vielezi vya namna au jinsi ambavyo huwa kwa dhati yake hutoa taarifa ihusuyo kitenzi.
Hivi ni vielezi vya namna au jinsi ambavyo vina uhusiano na tabia ya kitu. Nomino za dhahania zinapotumika kufafanua kitenzi huwa kielezi.
Hivi ni vielezi vya namna au jinsi ambavyo hufuatisha/huiga mlio unatokea baada ya tendo kutendeka.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vielezi vya namna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Vielezi vya namna, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.