Orodha Ya Maspika Wa Bunge La Tanzania

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa anaongoza jumla ya wabunge 393 katika Bunge la Tanzania.

Ifuatayo ni orodha ya Maspika wa Bunge hilo:

Jina Kuingia madarakani Kutoka madarakani Taarifa
Adam Sapi Mkwawa 26 Aprili 1964 19 Novemba 1973 Mkwawa alichaguliwa kuwa spika wa Bunge la Tanganyika tarehe 27 Novemba 1962
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya 20 Novemba 1973 5 Novemba 1975
Adam Sapi Mkwawa 6 Novemba 1975 25 Aprili 1994
Pius Msekwa 28 Aprili 1994 28 Novemba 2005
Samuel John Sitta 28 Desemba 2005 2010
Anna Makinda 10 Novemba 2010 16 Novemba 2015
Job Ndugai 17 Novemba 2015 amejiuzulu January 1 2022
Tulia Ackson 1 Februari 2022 Hadi Sasa

Marejeo

Tags:

BungeTanzaniaWabunge

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkataba wa Helgoland-ZanzibarP. FunkPalestinaDolaJamhuri ya Watu wa ZanzibarKamusi ya Kiswahili sanifuYoung Africans S.C.Kupatwa kwa MweziUtamaduniMichezoIstanbulMapambano ya uhuru TanganyikaWanyakyusaDemokrasiaAli KibaDawatiMkoa wa KataviWimboShairiKiimboJokofuMnururishoVielezi vya wakatiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaElibariki Emmanuel KinguSteven KanumbaKihusishiDuniaBob MarleyRoho MtakatifuMaana ya maishaHoma ya iniFigoNembo ya TanzaniaMnyoo-matumbo MkubwaMtaalaHerufi za KiarabuVivumishi vya jina kwa jinaUpinde wa mvuaBaruaMohamed HusseinTanzaniaHifadhi ya NgorongoroAsiliDodoma (mji)Vivumishi ya kuulizaKisimaEdward Ngoyai LowassaHoma ya matumboUkristo barani AfrikaUkwapi na utaoKinyongaFasihi simuliziThamaniOrodha ya makabila ya TanzaniaHistoria ya ZanzibarMusaInjili ya MathayoWapareHoma ya manjanoSamia Suluhu HassanOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaNgonjeraRitifaaLisheUhakiki wa fasihi simuliziUmoja wa AfrikaDhahabuMbwana SamattaMaskiniKupatwa kwa JuaMaji🡆 More