Mshororo

Mshororo ni kila mstari uliopo ndani ya beti za shairi.

Idadi ya mishororo katika shairi ndio hutumika katika kutambua na kujua aina ya shairi. Kanuni hiyo hutumika sana katika mashairi ya kimapokeo. Mara nyingi mishororo huanza kwa kuwa na kipande kimoja katika mstari, vipande viwili, vipande vitatu, na vipande vinne.

Washairi wengi wamekua wakiandika mshororo wenye vipande viwili kwa mashairi ya kawaida na wachache sana hujaribu kuandika mashairi yenye vipande viwili katika mshororo.

Kila mshororo huwa na majina yake kwa mashairi yenye mishororo minne ambayo hujulikana kama Tarbia.

Mshororo wa kwanza huitwa Mwanzo.

Mshororo wa pili huitwa Mloto.

Mshororo wa tatu huitwa Mleo.

Mshororo wa nne huitwa Kituo. Iwapo mshororo wa mwisho katika ubeti utajirudiarudia, basi mshororo huo utabadilika jina kutoka kituo na kuitwa Kibwagizo.

Tanbihi

Mshororo  Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mshororo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Shairi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Reli ya TanganyikaAzimio la ArushaUkristoNguzo tano za UislamuMfumo wa nevaYoung Africans S.C.StashahadaTabianchiBukayo SakaNyumbaMunguWanyakyusaShinikizo la ndani ya fuvuDayolojiaRayvannyVyombo vya habariUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereKiunguliaMkoa wa PwaniBiasharaMkoa wa ManyaraMilaUajemiMaana ya maishaShairiMkoa wa KageraOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUandishi wa inshaKiungujaUzazi wa mpangoIniMuundoNdiziLigi Kuu Tanzania BaraKanisa KatolikiPasaka ya KikristoUlemavuNdoaLughaMwanamkeDioksidi kaboniaMziziIsimilaAlama ya uakifishajiUhalifu wa kimtandaoBikiraAsili ya KiswahiliSoko la watumwaHedhiUfilipinoSteven KanumbaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMalariaMadawa ya kulevyaHektariMusaKarafuuSaidi NtibazonkizaTungo sentensiMariooMfumo wa homoniMofuIntanetiUgandaUhakikiKiambishiMatumizi ya lugha ya KiswahiliTasifidaKizunguzunguViwakilishi vya kuoneshaShinikizo la juu la damuJean BalekeJay MelodyUharibifu wa mazingira🡆 More