Viwakilishi

Kiwakilishi (pia: viwakilishi) ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino.

Mifano
  • Mimi na wewe ni kitu kimoja.
  • Hilo si langu'.
  • Anawatazama wao.
  • Kiache hicho.
  • Nani atasema jambo kama hilo?

Maneno hayo (viwakilishi) hutumika pale tu ambapo nomino haipo au haikutajwa huenda kwa kuwa imekwisha-tajwa hapo awali au inafahamika katika mazingira husika. Mfano:

  • Hizi zimeiva
  • Chake' kimeliwa
  • Mimi ni mwalimu
  • Wote wamepotea
  • Aliyegongwa amepona

Wakati mwingine watu hawataji waziwazi majina ya watu wazo, hali au vitu fulani ambavyo wamekwisha-vizungumza/vitaja hapo awali au vinafahamika katika mazingira husika badala yake hutumika maneno mengine kuwakilisha - kusimama badala ya (majina hayo ambayo hawakuyataja) - maneno hayo ndiyo huitwa viwakilishi.

Orodha ya viwakilishi

  1. Viwakilishi vya sifa
  2. Viwakilishi vya idadi - vilevile kiasi
  3. Viwakilishi vya kuuliza
  4. Viwakilishi vya kuonesha
  5. Viwakilishi vya nafsi
  6. Viwakilishi vya kumiliki
  7. Viwakilishi vya unganifu
  8. Viwakilishi vya amba
  9. Viwakilishi vya urejeshi
  10. Viwakilishi vya pekee

Tazama pia

Viwakilishi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SemiNgoma (muziki)Lugha rasmiHoma ya manjanoIsraeli ya KaleShambaUfahamuMofolojiaReptiliaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniWanyakyusaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiSaidi Salim BakhresaDiniIntanetiTabataTungo kishaziKiambishi awaliLa LigaUislamuKajala MasanjaPaul MakondaMichael JacksonDemokrasiaUturukiLafudhiKata (maana)Mgawanyo wa AfrikaNominoAkiliMkoa wa RuvumaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015SiasaAfro-Shirazi PartyVivumishi vya jina kwa jinaNigeriaRuge MutahabaBloguKifua kikuuBabuMr. BlueKamusi za KiswahiliMimba za utotoniJipuMkoa wa ShinyangaMapambano ya uhuru TanganyikaSitiariMfumo wa nevaChakulaInjili ya MathayoItifakiMazingiraLigi ya Mabingwa UlayaPandaLahaja za KiswahiliNahauNusuirabuNdovuMkoa wa KataviMtotoHekimaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMabantuHistoria ya WapareMimba kuharibikaTashihisiRejistaSayariMaudhui katika kazi ya kifasihiKonsonantiZuchuUraibuMajira ya mvuaJulius Nyerere🡆 More