Wanyamwezi

Wanyamwezi ni kabila la watu wa Tanzania walio wenyeji wa mikoa ya Tabora na Shinyanga.

Wanyamwezi
Wanyamwezi mwaka 1860.

Lugha yao ni Kinyamwezi.

Vyakula vikuu vya kabila hilo ni ugali, michembe (matobolwa), pamoja na viazi vitamu.

Pengine anaitwa Mnyamwezi mtu yeyote yule mjanjamjanja miongoni mwa vijana, kama vile kijana anayejua kuvaa vizuri, asiyependa kufuatilia mambo ya watu wengine na anayeweza kuwafahamisha wenzie na kuwafanya waelewe juu ya jambo fulani bila ya ukakasi.

Wanyamwezi Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyamwezi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KabilaMikoa ya TanzaniaMkoa wa ShinyangaMkoa wa TaboraTanzaniaWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya maziwa ya TanzaniaPunyetoHafidh AmeirFalsafaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaSayariNenoBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiUkwapi na utaoFasihi andishiUbungoUenezi wa KiswahiliKilimoMkanda wa jeshiShinikizo la juu la damuAzimio la ArushaWilaya ya ArushaMasadukayoOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaOrodha ya majimbo ya MarekaniUingerezaKiarabuBaraMkoa wa LindiJangwaNomino za dhahaniaUandishi wa inshaMillard AyoVielezi vya namnaKiambishi awaliNandyNg'ombeVirusi vya CoronaMnara wa BabeliTeknolojiaMivighaFani (fasihi)TafsiriRaiaSinzaVitenzi vishirikishi vikamilifuKisimaKupatwa kwa JuaHektariHuduma ya kwanzaKinyereziMoyoMlo kamiliMnururishoUgonjwa wa uti wa mgongoLugha rasmiUtoaji mimbaMsituMmeng'enyoUtohoziKidole cha kati cha kandoLugha ya maandishiHekimaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaBendera ya KenyaWagogoManispaaMbogaAbedi Amani KarumeVivumishi vya idadiZabibuKibodiWilaya ya Unguja Magharibi AMoses KulolaMandhariDhahabuWayao (Tanzania)Idi AminKigogo (Kinondoni)🡆 More