Vivumishi Vya Idadi

Vivumishi vya idadi (pia Vivumishi vya kiasi) ni neno/maneno yanayotoa taarifa ya idadi ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino.

Mifano
  • Watu 'wanne wamepotea, idadi halisi/kamili
  • Wanafunzi saba wamefaulu, idadi halisi/kamili
  • Nyumba nyingi hazina umeme, idadi ya jumla
  • Simba wachache wamevamia kijiji, idadi ya jumla

Idadi hiyo inaweza kuwa ya jumla au idadi kamili au halisi.

    Mifano
  • Wanafunzi wawili wamelala darasani
  • Wajumbe sita wamesimamishwa
  • Nyoka wengi wana sumu kali
  • Maembe machache yameiva
  • Wananchi wengi wameandamana

Tazama pia

Vivumishi Vya Idadi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya idadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

24 ApriliBaraDubai (mji)SayariMashuke (kundinyota)PichaAdolf HitlerMbagalaMalariaZama za ChumaKitenziMkoa wa KigomaMabiboHistoria ya KanisaPombooHakiKupatwa kwa JuaWanyaturuMfumo wa uendeshajiMjasiriamaliMagonjwa ya kukuAgano JipyaUkoloniAfrika Mashariki 1800-1845Mohamed HusseiniDhamiraWaluguruJakaya KikweteKongoshoKarafuuWabunge wa kuteuliwaMazungumzoWilaya ya KinondoniMamba (mnyama)UNICEFUenezi wa KiswahiliChuo Kikuu cha DodomaLigi ya Mabingwa UlayaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaMatumizi ya LughaJiniMillard AyoLigi Kuu Uingereza (EPL)SentensiMuhammadFamiliaMsamahaKisaweNomino za dhahaniaMsituBarua rasmiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAlomofuUkongaNominoKiboko (mnyama)Mpira wa miguuEe Mungu Nguvu YetuKen WaliboraUbungoWanyama wa nyumbaniWayao (Tanzania)Orodha ya visiwa vya TanzaniaBagamoyo (mji)Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaKiswahiliKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniVipera vya semiMapenziVitendawiliIlluminati🡆 More