Vitendawili: Ajenga ingawa Hana mikono

Vitendawili ni semi zilizofumbwa ambazo hutolewa kwa hadhira ili zifumbuliwe.

Jina linasema kuna pande mbili zinazotenda: anayeuliza na anayeulizwa, ama maneno yalivyo na maana yake ya fumbo.

Fumbo hilo huwa lina mawazo au mafunzo muhimu kwa washiriki na kuchemsha au kufikirisha akili zao.

Vitendawili hufikirisha na kufanya watu wavihusishe na hali halisi ya maisha na vitu au matukio mbalimbali katika mazingira yao na dunia kwa ujumla.

Mifano ya vitendawili ni:

Vitendawili vina utaratibu maalumu vya kuvianza. Mfano:

  • Mtegaji: Kitendawili?
  • Hadhira: Tega.
  • Mtegaji: Popo mbili zavuka mto?
  • Hadhira: miguu.
  • Mtegaji: Mmekosa! nipeni mji.
  • Hadhira: Nenda Mwanza?.
  • Mtegaji: Siendi.
  • Hadhira: Nenda kagera?
  • Mtegaji: Naenda, jibu lake ni macho.

Mwingine:

  • Mtegaji: Mzazi ana miguu, mzaliwa hana.
Vitendawili: Ajenga ingawa Hana mikono Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitendawili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Semi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya KiswahiliHisiaMartin LutherOrodha ya vitabu vya BibliaChanika (Ilala)Umoja wa AfrikaMange KimambiElimuMfumo wa mzunguko wa damuMziziUbungoMaziwa ya mamaMajigamboMsamahaManchester United F.C.Mbweni, KinondoniOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUandishi wa ripotiRose MhandoMunguMitume na Manabii katika UislamuHistoria ya AfrikaHadhiraSeli za damuMatumizi ya LughaMkwawaFasihiUzazi wa mpango kwa njia asiliaHisaTarakilishiSentensiManchester CityTanganyikaNusuirabuBenki ya DuniaMisriBenjamin MkapaYoung Africans S.C.KengeOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaBikiraTashihisiVita ya uhuru wa MarekaniNdege (mnyama)Mkoa wa SimiyuWayao (Tanzania)Lugha ya taifaJumuiya ya MadolaBendera ya KenyaAlomofuOrodha ya Marais wa MarekaniVielezi vya namnaMofimuMmeng'enyoAkiliHistoria ya KenyaHistoriaMkoa wa DodomaKiunzi cha mifupaNandyJamiiAngahewaMfupaMichael JacksonUaminifuLugha ya maandishiViunganishiWema SepetuUhifadhi wa fasihi simuliziMkoa wa NjombeInsha ya wasifuVita vya KageraMakabila ya IsraeliUNICEF🡆 More