Orodha Ya Vyama Vya Siasa Tanzania

Mfumo wa vyama vingi ni hali ya kuwa na chama zaidi ya kimoja,katika nchi moja.Madhumuni ya kuwa na vyama vingi vya siasa ni kuleta ushindani wa kisiasa,ili kuleta maendeleo ya nchi,upinzani wa kisiasa sio uadui kama watu wengi kwenye nchi zinazoendelea wanavyodhani,kuwa na vyama vingi ni kuongeza wigo wa demokrasia katika jamii huska.

Tanzania
Orodha Ya Vyama Vya Siasa Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar
Orodha Ya Vyama Vya Siasa Tanzania

Nchi zingine · Atlasi

Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa uliorejeshwa katika katiba ya Tanzania mwaka 1992.

Chama tawala ni

Vyama vingine vya siasa Tanzania ni

Orodha kamili ya vyama vya siasa nchini Tanzania]

# Chama Kifupi chake Kimeanzishwa Bunge BWZ BAM SADC-PF BUA
1 Chama cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) CCM 1977
263
48
7
4
4
2 Civic United Front (Chama cha Wananchi) CUF 1992
35
33
1
1
3 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) CHADEMA 1992
49
0 0 0 0
4 Union for Multiparty Democracy UMD 1993 0 0 0 0 0
5 NCCR-Mageuzi (Chama cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa) NCCR-M 1992
5
0
1
0 0
6 National League for Democracy NLD 1993 0 0 0 0 0
7 Attentive Democracy Party (Demokrasia Makini) MAKINI 2001 0 0 0 0 0
8 United People's Democratic Party UPDP 1993 0 0 0 0 0
9 National Reconstruction Alliance NRA 1993 0 0 0 0 0
10 Democratic Party (Chama Cha Kidemokrasia) DP 2002 0 0 0 0 0
11 Tanzania Democratic Alliance TADEA 1990 0 0 0 0 0
12 Tanzania Labour Party TLP 1993
1
0 0 0 0
13 United Democratic Party UDP 1994
1
0 0 0 0
14 Chama cha Haki na Ustawi (Chama cha Haki na Ustawi) CHAUSTA 1998 0 0 0 0 0
15 Progressive Party of Tanzania – Maendeleo PPT-MAENDELEO 2003 0 0 0 0 0
16 People's Voice (Sauti ya Umma) SAU 2005 0 0 0 0 0
17 Traditional Dhow (Jahazi Asilia) 2004 0 0 0 0 0
18 Alliance for Tanzanian Farmers Party (Chama Cha Wakulima) AFP 2009 0 0 0 0 0
19 Social Party (Chama Cha Kijamii) CCK 2012 0 0 0 0 0
20 Alliance for Democratic Change (Umoja wa Mabadiliko ya Demokrasia) ADC 2012 0 0 0 0 0
21 Party for People's Redemption (Chama cha Ukombozi wa Umma) CHAUMMA 2013 0 0 0 0 0
22 Alliance for Change and Transparency (Umoja wa Mabadiliko na Uwazi) ACT 2014 0 0 0 0 0

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MuundoJay MelodyUgonjwa wa uti wa mgongoAlomofuMauaji ya kimbari ya RwandaHistoria ya AfrikaRose MhandoUkabailaSomo la UchumiKipandausoVisakaleNgome ya YesuDaudi (Biblia)MuhammadTreniWanyaturuWachaggaInjili ya MathayoUbatizoUchorajiMariooJKT TanzaniaNafsiTrilioniMbonoBukayo SakaMbogaKata za Mkoa wa Dar es SalaamNetiboliSkeliMbooUbongoMbuniApril JacksonPakaChuo Kikuu cha MuhimbiliKilatiniTulia AcksonMr. BlueOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuWikipediaJean BalekeShinikizo la ndani ya fuvuDayolojiaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaBiashara ya watumwaMfumo wa nevaVielezi vya idadiChatGPTBiblia ya KikristoKilimanjaro (volkeno)Abedi Amani KarumeRaiaIsimujamiiOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaTambaziKengeVita Kuu ya Kwanza ya DuniaDar es SalaamAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMtoto wa jichoKilwa KisiwaniP. FunkHoma ya manjanoTafsiriNairobiMtakatifu PauloMtemi MiramboInjiniMajina ya Yesu katika Agano JipyaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaKata (maana)Mofolojia🡆 More