Hadhira ni watu wanaotarajiwa kupokea ujumbe wa msanii kutoka kwa fanani katika kazi ya fasihi
Hadhira huweza kupokea ujumbe huo kwa kusikiliza, kuona au hata kuona pamoja na kusikiliza.
Ujumbe wa kusikiliza ni kama nyimbo.
Ujumbe wa kuona ni kama alama (zinazofanana na alama za barabarani).
Ujumbe wa kuona na kusikiliza ni kama sanaa za maonesho.
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hadhira kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hadhira, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.