Bendera Ya Kenya

Bendera ya Kenya ilizinduliwa rasmi tarehe kumi na mbili Desemba, mwaka wa 1963.


Flag of Kenya
}}
Use National Bendera and civil and state ensign National flag, civil and state ensign
Proportion 2:3
Design A white-fimbriated horizontal tricolour of black, red, and green charged with two crossed white spears behind a red, white, and black Maasai shield.
}}
Variant flag of Kenya
Use Naval ensign War ensign
Design A white field with the national flag in the canton and a large red anchor in the fly.

Mfano

Bendera ya Kenya ina msingi katika bendera ya muungano wa kitaifa wa Kenya African. Rangi zinaashiria weusi wengi wenyeji , nyekundu ni damu iliyomwagwa wakati wa mapambano ya uhuru, na kijani kibichi ni mali asili; mikanda meupe yaliongezwa baadaye na yanasimamia amani. Ngao nyeusi, nyekundu, na nyeupe ya jadi ya Kimaasai na mikuki miwili yanaashiria ulinzi wa mambo yote yaliyotajwa hapo juu.

Buni

Rangi za bendera zimebuniwa na Hifadhi ya Taifa ya Kenya.

Mfuko Nyekundu Kijani kibichi
Rangi Rasmi za Uingereza Nyekundu ya Posta 0-006 0-010
    Chanzo: Bendera ya Kenya iliyoko Get Kenya Online. Imeangaliwa tmwezi wa 6 Agosti 2006.
      Chanzo: Maelezo ya Bendera iliyoko Kumbuku za Taifa. Imeangaliwa 16 Februari 2006.


Bendera Ya Kenya 
Karatasi ya Ujenzi

Historia

Bendera ya Kenya imejikita kwenye bendera nyeusi juu ya nyekundu juu ya kijani ya chama cha KANU, chama cha siasa kilichoongoza mapambano ya uhuru wa Kenya. Baada ya uhuru, mikanda meupe, inayoashiria amani na umoja, na ngao zikaongezwa.

Tazama pia

  • Orodha ya bendera za Kenya

Viungo vya nje

  • Kenya at Flags of the World

Tags:

Bendera Ya Kenya MfanoBendera Ya Kenya BuniBendera Ya Kenya HistoriaBendera Ya Kenya Tazama piaBendera Ya Kenya Viungo vya njeBendera Ya Kenya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AlfabetiLigi Kuu Tanzania BaraVipera vya semiStashahadaNgeliUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaYanga PrincessBawasiriKiambishi awaliMuundoLughaLilithNembo ya TanzaniaBahashaVidonge vya majiraMaradhi ya zinaaMishipa ya damuMusaMalariaNgano (hadithi)InshaNambaDiniBarua pepeMpira wa miguuMkoa wa NjombeMachweoTiktokKataKishazi tegemeziUtendi wa Fumo LiyongoSiafuOrodha ya viongoziKoloniSilabiKunguruViunganishiHuduma ya kwanzaMsamahaMkopo (fedha)Masafa ya mawimbiKiumbehaiUkristoVita ya Maji MajiUDAPemba (kisiwa)JichoUnyenyekevuDhamiraUkatiliWanyaturuAndalio la somoHoma ya mafuaMaktabaMfuko wa Mawasiliano kwa WoteBiblia ya KikristoKiunguliaArsenal FCUgonjwa wa uti wa mgongoUshairiWagogoMpira wa mkonoJava (lugha ya programu)NgonjeraKidole cha kati cha kandoPunda miliaMilaTarbiaUturukiTanzania🡆 More