Ukatili

Ukatili (kutoka neno la Kiarabu) ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine, ilihali suluhisho la wazi linapatikana kwa urahisi.

Ukatili
Michoro ya zamani ikionyesha aina mbalimbali za ukatili kwa watumwa huko Aljeria.

Ukatili unaweza kutokana na matatizo ya kisaikolojia yenye mizizi utotoni, lakini pia ni tabia ambayo mtu anaweza kujijengea kinyume cha maadili.

Ukatili unaweza kujitokeza hata katika namna ya kufanya ngono.

Matumizi katika sheria

Neno ukatili mara nyingi hutumika katika sheria kuhusu matendo dhidi ya watoto, wenzi wa ndoa, na wafungwa lakini pia dhidi ya wanyama. Ukatili kwa wanyama unapojadiliwa, mara nyingi humaanisha mateso yasiyofaa, yaani yasiyo na sababu ya kutosha, si yale yanayotakiwa na ulaji wa nyama yake.

Katika sheria ya jinai, inamaanisha mateso, unyanyasaji na adhabu kali na isiyo ya kawaida. Katika visa vya talaka, mamlaka nyingi huiruhusu kwa ajili ya matendo ya kikatili na ya kinyama. Katika sheria, ukatili ni "usumbufu wa kimwili au kiakili, haswa inapofikiriwa kwa uamuzi wa kutoa talaka."

Tanbihi

Marejeo

Tags:

KiarabuMtuNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MichezoHaitiKichecheAli Hassan MwinyiMbaraka MwinsheheAkiolojiaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUti wa mgongoTungo sentensiNyaniDar es SalaamRushwaWanyamweziAAgano la KaleHoma ya dengiKombe la Dunia la FIFADoto Mashaka BitekoOrodha ya maziwa ya TanzaniaJacob StephenNomino za kawaidaMsalabaNambaDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaPumuNdoo (kundinyota)Zama za ChumaFisiSitiariOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoKengeUbongoUgandaMauaji ya kimbariZama za MaweMbuTendo la ndoaIsimujamiiFaraja KottaAir TanzaniaNguzo tano za UislamuKishazi tegemeziAfrikaMtandao wa kompyutaKelvin Pius JohnVitenzi vishiriki vipungufuSaddam HusseinUhuru wa TanganyikaHistoria ya KiswahiliMimba kuharibikaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiUhifadhi wa fasihi simuliziDemokrasiaRita wa CasciaMgawanyo wa AfrikaUsafi wa mazingiraAzimio la kaziMungu ibariki AfrikaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMuda sanifu wa duniaBiashara ya watumwaYouTubeOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMenoMkoa wa SongweKitomeoPasakaBruneiAfrika ya MasharikiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMwanzoMazingiraSabato🡆 More