Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara (kwa Kiingereza: Tanzanian Premier League) ni ligi ya kiushindani ya juu kabisa nchini Tanzania, inasimamiwa na shirikisho la soka nchini Tanzania TFF.

Ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama "Ligi ya Taifa". Jina hilo lilibadilishwa kuwa "Ligi Daraja la kwanza" na tena ikabadilishwa kuwa ‘’Ligi Kuu’’ mnamo mwaka 1997.

NchiTanzania
ConfederationConfederation of African Football
Ilianzishwa1963
Idadi ya timu18
Kushushwa hadiTanzanian First Division League
Levels on pyramid1
Makombe ya nyumbaniAzam Sports Federation Cup
Makombe ya KitaifaCAF Champions League
CAF Confederation Cup
Current champions[[Yanga S.C.]] (2022–23)
Ubingwa wa Juu zaidiYanga S.C. (29)
Tovutitff.or.tz/ligi-kuu-tanzania-bara/
Ligi Kuu Tanzania Bara 2023–24 Tanzanian Premier League

Muundo

Kuanzia msimu wa 2018/19, ligi hiyo ilikua na klabu 20 zilizocheza mashindano ya mizunguko miwili. Klabu iliyoshika nafasi ya kwanza mwisho wa msimu ilishiriki mashindano ya klabu bingwa barani Afrika (Confederation of African Football (CAF) Champions League) msimu uliofuata.

Kuanzia msimu wa 2015/16, mshindi katika mashindano ya Azam Sports Federation Cup alifuzu kushiriki mashindano ya (CAF Confederations Cup), kabla ya mabadiliko hayo, alieshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ndiye aliyefuzu kushiriki mashindano ya Shirikisho barani Afrika.

Walioshika nafasi tatu za mwisho katika ligi kuu walishuka daraja kushiriki ligi daraja la kwanza kwa msimu uliofuata.

Msimu wa 2020/21

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu wa 2020/21 Ligi kuu Tanzania Bara.

Msimu wa 2018/19

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu wa 2018/19 Ligi kuu Tanzania Bara.

Msimu wa 2016/17

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu 2016/17 Ligi kuu Tanzania Bara:

Msimu wa 2015/16

Timu zifuatazo zilishiriki katika mashindano ya msimu 2015/16 Ligi kuu Tanzania Bara:

Msimu wa 2014/15

Ligi Kuu Tanzania Bara 
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar na Mbeya City tarehe 17 Januari 2015.

Klabu ya Yanga Sc ilishinda taji la ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2014/15. Azam F.C. ilishika nafasi ya pili ikifuatiwa na [[Simba S.C.]] iliyoshika nafasi ya tatu na Mbeya City F.C. ikishika nafasi ya nne. Mfungaji bora kwa msimu huo alikua ni Simon Msuva kutoka klabu ya Yanga Sc.

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2013/14

Timu zifuatazo zilishiriki ligi kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2013/14:

Msimu wa 2012/13

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2011/12

Timu zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Msimu wa 2010/11

Timu 12 zifuatazo zilishiriki katika ligi:

Washindi waliopita

Klabu zilizowahi kushinda mataji ya ligi kuu Tanzania bara ni:


Ushindi wa klabu

Jina la Klabu Washindi
Yanga Sc 26
Simba S.C. (inajumuisha Sunderland) 22
Mtibwa Sugar F.C. 2
Tukuyu Stars S.C. 1
Pan African S.C. 1
Azam F.C. 1
Cosmopolitans F.C. 1
Mseto Sports S.C. 1
Coastal Union S.C. 1

Wafungaji wa muda wote

Mwaka Alama Bora Klabu Magoli
1997 Ligi Kuu Tanzania Bara  Mohamed Hussein "Mmachinga" Yanga S.C.| 26
2004 Ligi Kuu Tanzania Bara  Abubakar Ally Mkangwa Mtibwa Sugar F.C.
2005 Ligi Kuu Tanzania Bara  Abdallah Juma Mtibwa Sugar F.C. 25
2006 n/a n/a
2007 Ligi Kuu Tanzania Bara  Mashiku SC United FC 17
2007–08 Ligi Kuu Tanzania Bara  Michael Katende Kagera Sugar F.C.
2008–09 Ligi Kuu Tanzania Bara  Boniface Ambani Yanga S.C. 18
2009–10 Ligi Kuu Tanzania Bara  Musa Hassan Mgosi Simba S.C. 18
2010–11 Ligi Kuu Tanzania Bara  Mrisho Ngasa Azam F.C. 18
2011–12 Ligi Kuu Tanzania Bara  John Raphael Bocco Azam 19
2012–13 Ligi Kuu Tanzania Bara  Kipre Tchetche Azam F.C. 17
2014–15 Ligi Kuu Tanzania Bara  Simon Msuva Yanga S.C. 17
2017-18 Ligi Kuu Tanzania Bara  Emmanuel Okwi Simba S.C. 20
2018-19 Ligi Kuu Tanzania Bara  Meddie Kagere Simba S.C. 22
2019–20 Ligi Kuu Tanzania Bara  Meddie Kagere Simba 22
2020–21 Ligi Kuu Tanzania Bara  John Bocco Simba 16
2021-22 Ligi Kuu Tanzania Bara  George Mpole Yanga S.C. 17

Marejeo

Viungo vya Nje


|-

|

Tags:

Ligi Kuu Tanzania Bara MuundoLigi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 202021Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201819Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201617Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201516Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201415Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201314Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201213Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201112Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 201011Ligi Kuu Tanzania Bara Washindi waliopitaLigi Kuu Tanzania Bara Ushindi wa klabuLigi Kuu Tanzania Bara Wafungaji wa muda woteLigi Kuu Tanzania Bara MarejeoLigi Kuu Tanzania Bara Viungo vya NjeLigi Kuu Tanzania Bara19651997JinaKiingerezaLigiMwakaTFFTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MaktabaNominoMofolojiaHatua ya utakasoStadi za maishaNamba za simu TanzaniaMwarobainiMikoa ya TanzaniaSinagogiKarne ya 19Master JayNgamiaLafudhiBaraUsimamizi wa MiradiZuhura YunusOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiSentensiLugha ya taifaMsengeOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMandhariKitenzi kikuuNembo ya TanzaniaKiumbehaiDuniaUfugaji wa kukuNafakaRoma (maana)InstagramOrodha ya majimbo ya MarekaniUturukiAkiliWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiTungo kiraiMoyoNgeli za nominoDhambi ya asiliKizigulaKiambishi tamatiMafua ya kawaidaOrodha ya milima mirefu dunianiLatitudoUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiFasihiBiasharaTabianchiOrodha ya Waandishi wa TanzaniaHerufiNelson MandelaLongitudoMbwana SamattaCosta TitchEverest (mlima)Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaLugha rasmiAllahUkimwiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)ShetaniKishazi tegemeziVivumishi vya pekeeTaarifaMuungano wa Madola ya AfrikaKinjikitile NgwaleUandishi wa ripotiBenjamin MkapaUbatizoWaluguruUswisiMsamahaJuaKiburiMwana FA🡆 More