Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 17 | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
Miaka ya 1800 | Miaka ya 1810 | Miaka ya 1820 | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890
Karne ya 19 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1800 na 1900. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1801 na kuishia 31 Desemba 1900.
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi, maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Hata hivyo kipindi hiki cha karne ya 19 kilikuwa kipindi muhimu sana katika historia ya binadamu.
Mabadiliko mengi yalianzia Ulaya na kuenea duniani, hivyo karne hii imeitwa na wataalamu "karne ya Ulaya".
Baadhi ya tabia za pekee za karne hii ni kama zifuatazo:
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Karne ya 19, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.