Muungano Wa Madola Ya Afrika

Muungano wa Madola ya Afrika ni wazo lililopendekezwa kwa ajili ya shirikisho la baadhi ya nchi zote huru 54 za katika bara la Afrika.

Muungano Wa Madola Ya Afrika
Ramani ya nchi huru 54 za Afrika jumlisha eneo lililokuwa na mgogoro la Sahara Magharibi

Wazo hili linatokana na shairi la Marcus Garvey la mwaka wa 1924, Hail, United States of Africa.

Kiongozi wa zamani wa Libya Muammar al-Gaddafi, ambaye 2009 alikuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (UA), aliendeleza wazo la Muungano wa Madola ya Afrika katika mikutano mwili ya kanda ya Afrika: wa kwanza mwezi Juni 2007 mjini Conakry, Guinea, halafu tena mnamo mwezi wa Februari mwaka 2009 mjini Addis Ababa, Ethiopia. Gaddafi awali alisukuma kuanzishwa kwa suala hili katika mkutano uliofanyika mwaka 2000 mjini Lomé, Togo, aliealeza UA kama kushindwa kwa baadhi ya mambo; Gaddafi alidai ya kwamba muungano wa kweli pekee ndiyo unaweza kutupatia uthabiti na utajiri kwa Afrika yetu. Baadhi ya viongozi wakuu wa UA walikubaliana na shirikisho lililopendekezwa, wakiamini ya kwamba ingeliweza kuleta amani katika Afrika mpya. Alpha Oumar Konaré, Rais wa zamani wa Mali na mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Umoja wa Afrika, alizungumzia wazo hili katika sherehe za Siku ya Afrika, mnamo Mei 25, 2006.

Tazama pia

Marejeo

Tags:

AfrikaShirikisho

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa KataviIdi AminMalariaTanzaniaMafarisayoOrodha ya miji ya TanzaniaMkoa wa TaboraWilaya ya IlalaNdege (mnyama)Orodha ya Marais wa ZanzibarHekalu la YerusalemuWikipediaMungu ibariki AfrikaSoga (hadithi)Historia ya KiswahiliUwanja wa Taifa (Tanzania)VieleziSarufiBarua pepeAmfibiaVielezi vya namnaYoung Africans S.C.MbooYesuOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaUislamuMapinduzi ya ZanzibarWimboMethaliVivumishi vya -a unganifuNairobiNguzo tano za UislamuVitenzi vishirikishi vikamilifuMwanamkeMizimuTaswira katika fasihiOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUfugaji wa kukuUshairiMkutano wa Berlin wa 1885Wilaya za TanzaniaMkoa wa LindiTabianchi ya TanzaniaNeemaTabiaSomo la UchumiShangaziUtandawaziKisaweWahayaFani (fasihi)FonimuHistoria ya KenyaVirusi vya UKIMWIMwanzo (Biblia)Upinde wa mvuaKisimaKongoshoJohn MagufuliUtumbo mwembambaMkoa wa PwaniAfrika ya Mashariki ya KijerumaniTenziJiniHistoria ya WapareBara🡆 More