Tabianchi Ya Tanzania

Tabianchi ni hali ya mabadiliko ya mazingira upande wa hali ya hewa yaani halijoto, pepo zinazovuma na mvua ambayo yanayojirudia rudia kwa muda mrefu.

Ramani ya Tanzania.
Ramani ya Tanzania.
Tabianchi Ya Tanzania
Mahali pa Tanzania.
Tabianchi Ya Tanzania
Aina za tabianchi katika Tanzania kadiri ya Köppen.
Tabianchi Ya Tanzania
Tanzania kutoka angani.
Tabianchi Ya Tanzania
Topografia ya Tanzania.

Tanzania ni nchi iliyopo mashariki mwa bara la Afrika na imepakana na nchi zifuatazo: upande wa kaskazini imepakana na nchi za Kenya na Uganda, upande wa magharibi imepakana na nchi za Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, upande wa kusini kuna nchi za Zambia, Malawi na Msumbiji wakati upande wa mashariki kuna Bahari ya Hindi.

Tabianchi ya Tanzania hubadilika kwa nyakati tofautitofauti katika mwaka.

  • Katika miezi ya Juni, Julai na Agosti, kuna hali ya baridi kwa sababu wakati huu jua la utosini huwa katika kizio cha kaskazini.

Hivyo kiasi cha mvua na halijoto husababisha tofauti za aina ya uoto wa asili, udongo na aina ya mazao yanayolimwa.

Mabadiliko ya tabianchi duniani kote yanajitokeza Tanzania pia. Kwa mfano, ongezeko la joto Duniani linasababisha barafuto la mlima Kilimanjaro kuzidi kuyeyuka. Serikali ya nchi imeungana na zile za nchi nyingi kukabili tatizo hilo lakini Kigezo:Bajeti iliyopangwa ni ndogo.

Tazama pia

Marejeo

Vitabu vya Jiografia ya Tanzania

Tabianchi Ya Tanzania  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Hali ya hewaHalijotoMazingiraMudaMvuaUpepo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya urejeshiKitenzi kikuuOrodha ya visiwa vya TanzaniaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarHifadhi ya Taifa ya NyerereNafsiLigi Kuu Uingereza (EPL)AbrahamuAntibiotikiMkuu wa wilayaRoho MtakatifuIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Historia ya IranBikira MariaMapinduzi ya ZanzibarMartin LutherMsamiatiWamasaiMtaalaUhakikiLingua frankaJiniUwanja wa Taifa (Tanzania)Jakaya KikweteDhanaYoung Africans S.C.Mkoa wa SongweJoyce Lazaro NdalichakoRamaniAgano JipyaNdoaMeridianiHistoria ya KiswahiliLongitudoAlama ya barabaraniUtumbo mwembambaRaiaBiasharaUfupishoShuleDaktariKonokonoDivaiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniRufiji (mto)Vielezi vya mahaliMachweoKiburiUajemiSarufiMbaraka MwinshehePanziLughaOrodha ya makabila ya TanzaniaLigi ya Mabingwa UlayaChristina ShushoJokofuTaswira katika fasihiMuhammadMjusi-kafiriOrodha ya mito nchini TanzaniaFilomena wa RomaMkoa wa ArushaNelson MandelaUngujaMjasiriamaliUsafi wa mazingiraKhadija KopaTanganyika African National UnionWimboPhilip Isdor Mpango🡆 More