Mofolojia

Mofolojia (kutoka maneno ya Kigiriki morphe, umbo, na logos, neno) au sarufi maumbo ni tawi la isimu ambalo huchunguza maneno ya lugha fulani na aina zake za maneno, hasa upande wa upangaji wa mofimu mbalimbali zitumikazo kwa ajili ya kuunda maneno.

Mofolojia ni taaluma ya isimu ambayo inachunguza maumbo ya maneno ama maneno kamili yanayobeba maana.

Mambo ya maneno ni matokeo ya muunganiko wa fonimu mbalimbali ambazo pia huungana na kuunda - hatimaye na kuwa neno. Yaani, Fonimu ---> Silabi ---> Neno.

Marejeo

  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Habwe J. na Karanja P. 2004, "Misingi ya Sarufi ya Kiswahili"

Tazama pia

Mofolojia  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mofolojia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Aina za manenoIsimuKigirikiLughaMofimuNenoSarufiTawiUmbo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Idhaa ya Kiswahili ya Radio TehranZaka23 ApriliSimba S.C.Orodha ya vyama vya siasa TanzaniaUaminifuUzalendoWanyihaCAFMkoa wa DodomaMamelodi Sundowns F.C.BiasharaBarua rasmiSodomaSilabiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)SemiUnyenyekevuAmaniBinadamuInsha ya wasifuKaswendeRaiaBlandina ChangulaOrodha ya miji ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKaaHoma ya iniKatibuIstilahiMbooUmaskiniKarafuuMmeaClatous ChamaMofolojiaMimba kuharibikaUhakiki wa fasihi simuliziMilango ya fahamuMajina ya Yesu katika Agano JipyaBiblia ya KikristoDagaaJeraha la motoDolar ya MarekaniRushwaOrodha ya Magavana wa TanganyikaJapaniUyahudiMaambukizi nyemeleziMagonjwa ya kukuRitifaaKataFarasiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUkimwiVitendawiliIbadaAfya na mwonekano wa Michael JacksonUpinde wa mvuaDhamiraKiimboEmily Newell BlairLigi Kuu Uingereza (EPL)RayvannyKombe la Dunia la FIFAMapafuMethaliTeknolojia ya habariMaghaniDNAKanuni ya Imani ya MitumeUtandawaziUtakatifuMsamiatiAsili ya KiswahiliKaramaChawa🡆 More