Nomino (kutoka Kilatini: nōmen, jina) ni aina ya maneno inayotaja jina la mtu, mnyama, kitu, mahali, sifa au wazo.
Mifano |
---|
|
Nomino hutokea kwa umbo la umoja au uwingi: kitu, vitu; mtu, watu.
Nomino pamoja na kitenzi hufanya sentensi, mfano: mtu anatembea.
Nomino zimeainishwa katika makundi mbalimbali - kutegemeana na mitazamo ya wataalamu. Pamoja na kuwepo kwa msigano baina yao, bado wataalamu wengine wameziainisha nomino (majina) katika makundi matano:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nomino kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Nomino, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.