Kishazi tegemezi (alama yake ni: K/Teg) ni tungo ambayo inayotawaliwa na kitenzi kisichojitosheleza kimaana.
Yaani, ni tungo ambayo hutawaliwa na kitenzi ambao hakitoi taarifa kamili. Kishazi tegemezi hutegemea msaada/lazima kiambatane na kishazi huru ndipo taarifa yake iweze kukamilika.
Mfano:
i/ Hakitoi taarifa kamili. Ili taarifa yake ikamilike ni lazima kiambatane na kishazi huru.
ii/Huundwa na urejeshi. Urejeshi huo hufanya kazi ya kutoa taarifa ya ziada kuhusu nomino.
iii/Si cha lazima sana katika tungo kwani kinaweza kuondolewa katika tungo na bado tungo hiyo ikabaki na maana kamili.
iv/Kinaweza ama kutanguliwa au kufuatiwa na kishazi huru.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kishazi tegemezi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kishazi tegemezi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.