Dhamira

Dhamira (kutoka neno la Kiarabu) katika fasihi ni lengo, nia au kusudio alilolikusudia msanii wa kazi ya fasihi kufikisha kwa hadhira yake.

Kwa mfano, msanii anaweza kutunga wimbo ambao ukawa unajadili madhara ya pombe. Hivyo, madhara ya pombe ni dhamira ya msanii huyo. Katika fasihi, dhamira zipo za aina mbili: kuna dhamira kuu na dhamira ndogondogo.

  • Dhamira kuu ni lengo kuu lililomsukuma msanii wa kazi hiyo ya kifasihi kutunga kazi yake.
  • Dhamira ndogondogo ni malengo madogomadogo yaliyochorwa na msanii wa fasihi ili kusaidia katika kufikisha lengo kuu.
Dhamira Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dhamira kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FasihiHadhiraKiarabuMsaniiNenoPombeWimbo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMkoa wa MaraMaishaBarabaraTelevisheniVivumishi vya pekeeUtandawaziNguruwe-kayaMtakatifu PauloVivumishi ya kuulizaInsha zisizo za kisanaaMnara wa BabeliUmoja wa MataifaAla ya muzikiMpwaShinikizo la juu la damuWahayaMsamiatiSilabiHakiItifakiNyaniUkristo barani AfrikaWaluguruHistoria ya WapareSimbaKidole cha kati cha kandoNazi (tunda)Mimba kuharibikaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiLigi ya Mabingwa AfrikaTetekuwangaTamathali za semiMwana wa MunguTanganyika (ziwa)YerusalemuTafsiriHoma ya iniBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiFacebookMawasilianoLughaNamba tasaOrodha ya kampuni za TanzaniaVita ya Uingereza dhidi ya ZanzibarDhahabuChuiDiamond PlatnumzMapambano ya uhuru TanganyikaMuhammadDhima ya fasihi katika maishaMamlaka ya Mapato ya TanzaniaRohoSintaksiMunguUbongoDawatiSamia Suluhu HassanMkoa wa TangaRamaniIniKunguniNabii EliyaUtawalaNgw'anamalundiMungu ibariki AfrikaUchumiNomino za jumlaZabibuUingerezaWaduduFonetikiHadithi za Mtume MuhammadMitindoWamasaiTaswira katika fasihiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMkoa wa Arusha🡆 More