Dirisha

Dirisha (kutoka neno la Kiajemi; kwa Kiingereza: window) ni nafasi wazi katika ukuta au paa la jengo, katika gari n.k.

Lengo lake ni kuruhusu hewa na mwanga viingie, pia watu waweze kuona nje kwa njia yake.

Dirisha
Dirisha la hewa chumbani.

Kunaweza kuwa na maumbo na ukubwa tofauti, ikiwa ni pamoja na mstatili, mraba, mviringo, au maumbo ya kawaida.

Kwa kawaida hujazwa na kioo ili kuzuia baridi na mavumbi kuingia. Baadhi ya madirisha yana kioo cha rangi, hasa mahali pa ibada.

Kabla ya kioo kilichotumiwa madirisha, watu wa Asia walitumia karatasi kujaza shimo kwenye ukuta. Karatasi ingeacha mwanga.

Tazama pia

Dirisha  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dirisha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

GariHewaJengoKiajemiKiingerezaMwangaNenoPaaUkutaWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ngome ya YesuUgonjwaAKanzuSiafuVipaji vya Roho MtakatifuWikipediaRené DescartesAir TanzaniaDizasta VinaBotswanaAzimio la kaziMlongeKilimoMkoa wa KageraKamusi za KiswahiliArudhiSakramentiWahayaMbeguItaliaSaratani ya mapafuTashtitiHarusiArsenal FCMungu ibariki AfrikaBinadamuViwakilishi vya pekeeHistoria ya EthiopiaWasukumaNuru InyangeteUtoaji mimbaUongoziUmoja wa AfrikaArusha (mji)Tunu PindaMombasaSabatoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUhuru wa TanganyikaBibliaNyasa (ziwa)Adolf HitlerMillard AyoMalariaFonimuVielezi vya idadiOrodha ya Marais wa ZanzibarHistoria ya WapareAli KibaAganoOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaPalestinaWanyama wa nyumbaniBikira MariaTabataUgonjwa wa kuharaUmoja wa MataifaUti wa mgongoJacob StephenSiasaMnara wa BabeliIsaSemantikiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMtakatifu PauloKinembe (anatomia)JinsiaUgandaBinamuDawa za mfadhaikoSaratani ya mlango wa kizaziWiki FoundationDaudi (Biblia)JinaSimba🡆 More