Asia: Bara

Asia ni bara kubwa kabisa kuliko mabara yote mengine ya dunia.

Bara hili lina eneo la kilomita za mraba 44,579,000 (maili za mraba 17,212,000), ambalo ni sawa na asilimia 30% ya ardhi yote. Wakazi wa bara la Asia ni 3,701,000,000 kwa mujibu wa makisio 2003.

Asia: Bara
Asia

Bara la Asia lina nchi 44 na visiwa mbali mbali vya madola mbalimbali. Mlima mrefu kabisa ulimwenguni ambao ni mlima wa Everesti wenye urefu wa mita 8,850 (futi 29,035) ulioko Nepal pia uko kwenye bara hili. Kadhalika, nchi zenye wakazi wengi zaidi ulimwenguni China na India pia ziko kwenye bara hili.

Ziwa kubwa kabisa ulimwenguni, bahari ya Kazwini (Caspian Sea) lenye eneo la kilomita za mraba 394,299 (maili za mraba 152,239) vile vile liko Asia kati ya ya nchi hizi: Azerbaijan, Urusi, Kazakhstan, Turkmenistan, na Uajemi.

Bara la Asia linaweza kugawanywa katika sehemu zifuatazo:

Orodha ya nchi na maeneo

Asia: Bara 
     Asia ya Kaskazini      Asia ya Kati      Asia ya Magharibi      Asia ya Kusini      Asia ya Mashariki      Asia ya Kusini-Mashariki
Jina la nchi au eneo,
bendera
Eneo
(km²)
Wakazi
(1 Julai 2008)
Wakazi kwa km² Mji mkuu
Asia ya Kati:
Asia: Bara 
Kazakhstan
2,724,927 15,666,533 5.7 Astana
Asia: Bara 
Kirgizia
198,500 5,356,869 24.3 Bishkek
Asia: Bara 
Tajikistan
143,100 7,211,884 47.0 Dushanbe
Asia: Bara 
Turkmenistan
488,100 5,179,573 9.6 Ashgabat
Asia: Bara 
Uzbekistan
447,400 28,268,441 57.1 Tashkent
Asia ya Mashariki:
Asia: Bara 
Uchina
9,584,492 1,322,044,605 134.0 Beijing
Asia: Bara 
Hong Kong
1,092 7,903,334 6,688.0
Asia: Bara 
Macau
25 460,823 18,473.3
Asia: Bara 
Japani
377,835 127,288,628 336.1 Tokyo
Asia: Bara 
Taiwan
35,980 22,920,946 626.7 Taipei
Asia: Bara 
Korea Kaskazini
120,540 23,479,095 184.4 Pyongyang
Asia: Bara 
Korea Kusini
98,480 49,232,844 490.7 Seoul
Asia: Bara 
Mongolia
1,565,000 2,996,082 1.7 Ulaanbaatar
Asia ya Kaskazini:
Asia: Bara 
Urusi
17,075,400 142,200,000 26.8 Moscow
Asia ya Kusini-Mashariki:
Asia: Bara 
Brunei
5,770 381,371 66.1 Bandar Seri Begawan
Asia: Bara 
Myanmar
676,578 47,758,224 70.3 Pyinmana
Asia: Bara 
Kamboja
181,035 13,388,910 74 Phnom Penh
Asia: Bara 
Timor Mashariki
15,007 1,108,777 73.8 Dili
Asia: Bara 
Indonesia
1,919,440 230,512,000 120.1 Jakarta
Asia: Bara 
Laos
236,800 6,677,534 28.2 Vientiane
Asia: Bara 
Malaysia
329,847 27,780,000 84.2 Kuala Lumpur
Asia: Bara 
Ufilipino
300,000 92,681,453 308.9 Manila
Asia: Bara 
Singapuri
704 4,608,167 6,545.7 Singapuri
Asia: Bara 
Uthai
514,000 65,493,298 127.4 Bangkok
Asia: Bara 
Vietnam
331,690 86,116,559 259.6 Hanoi
Asia ya Kusini:
Asia: Bara 
Afghanistan
647,500 32,738,775 42.9 Kabul
Asia: Bara 
Bangla Desh
147,570 153,546,901 1040.5 Dhaka
Asia: Bara 
Bhutan
38,394 682,321 17.8 Thimphu
Asia: Bara 
Uhindi
3,287,263 1,147,995,226 349.2 New Delhi
Asia: Bara 
Uajemi
1,648,195 70,472,846 42.8 Tehran
Asia: Bara 
Maledivi
300 379,174 1,263.3 Malé
Asia: Bara 
Nepal
147,181 29,519,114 200.5 Kathmandu
Asia: Bara 
Pakistan
803,940 167,762,049 208.7 Islamabad
Asia: Bara 
Sri Lanka
65,610 21,128,773 322.0 Sri Jayawardenapura
Asia ya Magharibi:
Asia: Bara 
Armenia
29,800 2,968,586 111.7 Yerevan
Asia: Bara 
Azerbaijan
46,870 3,845,127 82.0 Baku
Asia: Bara 
Bahrain
665 718,306 987.1 Manama
Asia: Bara 
Kupro
9,250 792,604 83.9 Nikosia
Asia: Bara 
Palestina
363 1,537,269 3,315.7 Gaza
Asia: Bara 
Georgia
20,460 4,630,841 99.3 Tbilisi
Asia: Bara 
Irak
437,072 28,221,181 54.9 Baghdad
Asia: Bara 
Israel
20,770 7,112,359 290.3 Yerusalemu
Asia: Bara 
Yordani
92,300 6,198,677 57.5 Amman
Asia: Bara 
Kuwait
17,820 2,596,561 118.5 Jiji la Kuwait
Asia: Bara 
Libanon
10,452 3,971,941 353.6 Beirut
Asia: Bara 
Omani
212,460 3,311,640 12.8 Muskat
Asia: Bara 
Qatar
11,437 928,635 69.4 Doha
Asia: Bara 
Uarabuni wa Saudia
1,960,582 23,513,330 12.0 Riyad
Asia: Bara 
Syria
185,180 19,747,586 92.6 Dameski
Asia: Bara 
Uturuki
756,768 71,892,807 76.5 Ankara
Asia: Bara 
Falme za Kiarabu
82,880 4,621,399 29.5 Abu Dhabi
Asia: Bara 
Yemeni
527,970 23,013,376 35.4 Sana'a
Jumla 43,810,582 4,162,966,086 89.07

Tags:

BaraDuniaEneo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MwigizajiKupakua (tarakilishi)Wilaya za TanzaniaFigoHistoria ya TanzaniaMatiniTausiUmemeMpira wa kikapuWajitaMichezoNyongoLigi ya Mabingwa UlayaMaudhuiKatibaOrodha ya miji ya TanzaniaNairobiMkutano wa Berlin wa 1885SanaaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniOrodha ya Marais wa TanzaniaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaHakiMamba (mnyama)Amri KumiLongitudoVita vya KageraKataBiblia ya KikristoWilaya ya NyamaganaNusuirabuFananiTetekuwangaBata MzingaAli Hassan MwinyiMkoa wa MbeyaTiktokUpinde wa mvuaVivumishi vya kumilikiKalenda ya KiislamuKitenzi kishirikishiMjombaArudhiDiamond PlatnumzNguzo tano za UislamuMkopo (fedha)UtandawaziInshaOrodha ya Marais wa KenyaHisaChemsha BongoVitenzi vishirikishi vikamilifuUkristoJiniMavaziZama za ChumaWilaya ya MeruWizara za Serikali ya TanzaniaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaVita Kuu ya Pili ya DuniaMsokoto wa watoto wachangaRamaniLenziSintaksiFutiSemiMofolojiaBurundiKoroshoHekimaFasihi simuliziApril JacksonIdi Amin🡆 More