Astana

Astana ni mji mkuu wa Kazakhstan.

Kuna wakazi 1 350 228 (mwaka 2022).

Astana
Sehemu ya Mji wa Astana.


Astana
Nchi Kazakhstan
Astana
Nembo ya mji.

Jina

Mji uliitwa kwa jina "Akmola" ukateuliwa mwaka 1997 kuwa mji mkuu badala ya Almaty. Jina jipya la "Astana" lilimaanisha "mji mkuu". Uhamisho wa mji mkuu umesababishwa na nia ya kupeleka makao makuu ya serikali katika moyo wa nchi ilhali Almaty iko kando kabisa, mpakani mwa Kirgizia.

Mwaka 2019 jina limebadilishwa tena kuwa Nursultan kwa heshima ya rais mstaafu Nursultan Nazarbayev.

Mnamo septemba 17, 2022, Rais Tokayev alisaini amri juu ya kubadili jina la mji Mkuu Kwa Astana. Amri ilianza kutumika tangu tarehe ya kuchapishwa.

Astana  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Astana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2022KazakhstanMji mkuuMwaka

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NafsiMbeziUandishi wa inshaMickey MouseWanyamweziHistoria ya WasanguWabena (Tanzania)Samia Suluhu HassanBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiFalsafaMachweoMorogoro VijijiniMkoa wa DodomaMethaliDivaiMalariaTafsiriJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSalim Ahmed SalimMagonjwa ya machoMvua ya maweKiraiNenoKilimanjaro (volkeno)Historia ya KanisaWachaggaHuduma ya kwanzaAfrika Mashariki 1800-1845BabeliKenyaJamiiUkristo nchini TanzaniaUyahudiWhatsAppIntanetiVivumishi vya jina kwa jinaUfalme wa MuunganoOrodha ya miji ya TanzaniaMnyoo-matumbo MkubwaJangwaKisimaMbuViunganishiKiambishi tamatiUajemi ya KaleWilaya ya MeruMobutu Sese SekoMkoa wa ShinyangaMmeng'enyoHafidh AmeirStadi za lughaMwigizajiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaDoto Mashaka BitekoBaraWakaguruMaambukizi ya njia za mkojoMashariki ya KatiNgonjeraLughaVipera vya semiKiimboHaki za binadamuWizara za Serikali ya TanzaniaVivumishi vya kumilikiMkono🡆 More