Mkono

Mkono ni kiungo cha mwili kinachoanza penye bega na kuishia penye kiganja na vidole.

Huwa na sehemu mbili ambazo ni mkono wa juu na kigasha zinazounganishwa kwa kiwiko au kisugudi.

Mkono
Sehemu za mkono

Mkono huishia kwa vidole vitano ambavyo ni: kidole gumba, kidole cha shahada, kidole cha kati, kidole cha pete na kidole cha mwisho. Vidole vyote huweza kufanya kazi pamoja.

Mkono
Mifupa ya mkono wa kibinadamu

Miongoni mwa wanadamu, mkono ni kiungo kilichotokea kutokana na mabadiliko ya miguu ya mbele ya mamalia wengine. Mikono inafanya pia kazi muhimu katika lugha ya mwili na lugha ya ishara.

Tanbihi

Sehemu za Mkono wa binadamu

Bega * Mkono wa juu * Kisugudi * Kigasha * Kiganja * Kidole gumba * Kidole cha shahada * Kidole cha kati * Kidole cha pete * Kidole cha mwisho


Mkono  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkono kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BegaKiganjaKigashaKisugudiKiungoKiwikoMbiliMwiliVidole

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wameru (Tanzania)Nembo ya TanzaniaSamakiViunganishiHali ya hewaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiKabilaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMbeyaIsimujamiiKata za Mkoa wa MorogoroMasafa ya mawimbiAunt EzekielDodoma (mji)Orodha ya makabila ya TanzaniaVielezi vya mahaliUsanifu wa ndaniBaraza la mawaziri TanzaniaWizara ya Mifugo na UvuviOrodha ya Marais wa UgandaWashambaaStephane Aziz KiRufiji (mto)Magonjwa ya machoMbuniHerufiShairiKisimaMtaalaGongolambotoAlama ya uakifishajiSamia Suluhu HassanAmfibiaFutiKanye WestMkutano wa Berlin wa 1885SiafuZakaJokofuBaruaMbossoMisemoMajina ya Yesu katika Agano JipyaSodomaHistoria ya uandishi wa QuraniKiambishi tamatiLeonard MbotelaInsha za hojaUkimwiOrodha ya milima ya TanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNenoAgano la KaleDivaiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaUmoja wa AfrikaNguzo tano za UislamuUtandawaziMsamahaSheriaSkeliUtamaduniBendera ya KenyaAOrodha ya makabila ya KenyaOrodha ya nchi za AfrikaMeliOrodha ya miji ya TanzaniaMartin LutherDubaiUjima🡆 More