Kidole

Kidole ni kiungo cha mwili kilichopo kwenye ncha ya mkono na mguu.

Kwa kawaida mwanadamu huwa na vidole 5 kwenye kila mkono na kila mguu.

Kidole
Majina ya vidole vya mkono:
1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho

Vidole vya mkononi vinakua kutoka kiganja vinaitwa kwa majina kama vile kidole gumba, kidole cha shahada, kidole cha kati, kidole cha pete na kidole cha mwisho. Ni viungo muhimu kwa kushika vitu na kutumia vifaa.


Kidole
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

MguuMkonoMwili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiambishiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMawasilianoMbuga za Taifa la TanzaniaTungoBenjamin MkapaMbuga wa safariOrodha ya Watakatifu WakristoViwakilishi vya urejeshiSemiKishazi tegemeziMnyoo-matumbo MkubwaTarafaKiambishi tamatiUzazi wa mpangoSaratani ya mlango wa kizaziMashariki ya KatiUtamaduniMnururishoLigi ya Mabingwa UlayaVipaji vya Roho MtakatifuSayariNomino za wingiTiba asilia ya homoniPaka (maana)Mkoa wa MorogoroMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaIsraelMmomonyokoViwakilishi vya sifaShairiMachweoKidoleJulius NyerereMtaalaCleopa David MsuyaSoga (hadithi)NetiboliGhanaBarua rasmiMiundombinu ya kijani katika nchi ya Kenya, mji wa NairobiNdiziNyegereMatumizi ya lugha ya KiswahiliNomino za kawaidaKibu DenisMohammed Gulam DewjiAli Hassan MwinyiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNduniKigoma-UjijiNyangumiRose MhandoWayahudiHali ya hewaVirusi vya CoronaManispaaMichezo ya jukwaaniUfupishoBunge la TanzaniaFalsafaMamba (mnyama)Arusha (mji)Muundo wa inshaUgonjwa wa kuharaRitifaaMfumo wa JuaZuliaStephane Aziz KiVichekeshoHifadhi ya Serengeti🡆 More